Dena Dena Dena Dena Dena Amsi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA
Bandugu bapenzi acheni mtoto wa watuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Alafu wewe nakutamani kweli sema kila siku nakuvizia pale kijiweni alafu hutokei.....fanya mpango basi!

Kuna mshikaji mmoja
Anadai kanipenda kwa hiyo
Ngoja nimkaushe kwanza sababu
Anajifanya bishololo hahahahahahahah lol
Ndoo maana nimebadilisha njia siku hizi lol..
Nway naenda kwa shangazi kesho nchana ntakupitia basi..
 
Ulitakiwa uwajibu hao wanaoanzisha thread kwenye hizo thread au kutochangia kabisa. Tatizo lako unazijibu weee halafu leo unalalama ndiyo mana hawakuelewi kama upo seriaz. Usiwe ndani nje bali uwe na msimamo thabit. Maana hueleweki kabisa

Nimeipenda hii mkuu!
 
Dena Dena Dena Amsiiii
Inabidi Invisible akufanyie mpango hili jukwaa la MMU, uli Moderate wewe nadhani utaweza. Kudhibiti vizuri ili usiwe unaanzishiwa thread.
 
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA

Omba BAN ya muda ili watu tukusahau!
Halafu nilikuwa na mpango wa kukuanzia Uzi leo baada ya lunch,na nina lazima niuanzishe kwa sababu sheria za JF zinaruhusu
 
Pole sana mama, nilishawaambia kwa ushauri tu kuwa hawana haja ya kugo public bora wakueleze tu kwa siri. Usijali ukiwa na shamba la mahindi huwezi kosa panya!
 
DA naamini kwa kuanzisha hii thread ndo ume vuta attention zaidi.. Kuweza ilitakiwa mtu anapoanzisha thread in your name m PM bila kuchelewa kua hujapenda na a delete (naamini hio option ipo ingawa sina hakika)... Natumai mwisho wa siku wahusika watakuelewa- best of luck na usiwe stressed.
 
Lakini hata wewe umeshajianzishia thread nying sana za kutukumbusha kuwa watu wanakuanzishia thread.
Huoni hii ni kama kuwakumbusha wale ambao hawajaona hizo thread ulizoanzishiwa? Yaani kama kujipa tano vile..!
Mi nakushauri wakikuanzishia uzi jaribu kucheki nao chemba.
 
Aaagh Dena vp tena...ile post ya posa la uchumba uliikubali maguu 100...tulijaribu kukutetea,ukatu-diss ukadai tuna wivu kwani we ni msichana lazima uolewe...sasa leo vp ??mbona na wewe waanzisha sredi nyingi ku-complain same??umezijibu kwa kunoga na watu nao wamenogewa....kwanini isiwe kwa Afrodenzi au Preta au pauline,au lizzy au mwanajamii 1 na wengine??hawa hawataki mambo ya kijingajinga na wanajua kudeal na hivi vifataki!!ndio maana hukuti mada za ajabu kuhusu hao watu.

Nahisi more is coming if u dnt take right measure on tht..sijui ukiona fahari ama??imekula kwako!!
 
Hupendi kuanzishiwa thread hapo hapo unapenda kujianzishia thread...
Watu kwa kupenda umaarufu kaazi kweli kweli

Mkuu Zanta,umeongea nilichokifikiria,badala ya kujianzishia tena thread ange-MP aliyeanzisha pia angewasiliana na MOD itolewe,vinginevyo kwa kufanya hivi ni kurudia kitu kile kile. Hapo nyuma nyuzi kama hizi zilichangia sana jukwaa kudorora sasa taratibu zinaanza kurudi!MMU ni familia tunapendana wote ukiguswa zaidi enda chumbani
 
Aaagh Dena vp tena...ile post ya posa la uchumba uliikubali maguu 100...tulijaribu kukutetea,ukatu-diss ukadai tuna wivu kwani we ni msichana lazima uolewe...sasa leo vp ??mbona na wewe waanzisha sredi nyingi ku-complain same??umezijibu kwa kunoga na watu nao wamenogewa....kwanini isiwe kwa Afrodenzi au Preta au pauline,au lizzy au mwanajamii 1 na wengine??hawa hawataki mambo ya kijingajinga na wanajua kudeal na hivi vifataki!!ndio maana hukuti mada za ajabu kuhusu hao watu.

Nahisi more is coming if u dnt take right measure on tht..sijui ukiona fahari ama??imekula kwako!!

Mkuu,umemaliza.Kilichobaki afanyie kazi,nadhani hataona tena ujinga ujinga kama huu.Dada zetu wengi tunawapenda sana lkn kwa heshima tunamalizana huko chumbani.
 
Kuna mshikaji mmoja
Anadai kanipenda kwa hiyo
Ngoja nimkaushe kwanza sababu
Anajifanya bishololo hahahahahahahah lol
Ndoo maana nimebadilisha njia siku hizi lol..
Nway naenda kwa shangazi kesho nchana ntakupitia basi..
Yani hiyo tu ndio sababu???Basi ngoja nitulie ila by the time anaacha kuzingua na mimi ntakua nimeshaondoka!
 
DA,
Uonapo hivyo...jst count yourself kuwa 'YOU'RE A LADY OF PEOPLE'. Sioni chukizo katika hao wakuongeleao, na majority hawakujui yaani ni invisible talks.
 
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA

Dena bana
Yaani unaji-Vodacom mwenyewe????
Najua unatania tu, na hapa unaburudika kimoyo-moyo
Yaani hapa unafanya SITAKI halafu moyoni NATAKA
Njia unazijua kama uko serious. Mods wapo kibao, wanaoanzisha unawajua
Au ndo yale ya Sumaye na UVCCM??? teh he he he he he
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom