Demu wangu katoa namba yangu ya simu kwa bwanake ili anifuatilie

Za uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
Your girlfriend's boyfriend
 
Huyo sio demu wako mbona maelezo yako yanajitosheleza au hujitambuiii!!!!!
 
Za uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
Poor thinker
 
hahahaaaaa acha uzombie ww nlikua na stress za kupoteza wallet hpa ila imenbidi kucheka tu..
 
Za uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
Ungesema tu demu wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom