Wanaume wamebaki wachache wengi wavulanaHivi hiki kizazi cha siku hizi kuna wanaume kweli!?
Demu wako afu Ana bwanaake tena
Ha ha haMagu kabana weee tukamuona Nyerere kwenye mti.
Kabana weeee mwanaume akili imeyumba hadi hujui kama umeandika na kupost.
Hata mimi naona huyu ni mmoja kati ya wanne wa kale kautafiti.Uhakiki wa mmoja kati ya wanne
hahahaha aisee kazi ipo tanzania hii wakati wengine tunalia hali mbaya mwingine anastory za kusadikikaZa uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
Hakuna wanaume ni watoto wa kiumeHivi hiki kizazi cha siku hizi kuna wanaume kweli!?