Demu wangu katoa namba yangu ya simu kwa bwanake ili anifuatilie

Masasaa

JF-Expert Member
Oct 23, 2015
585
623
Za uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom