Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,293
Naunga mkono hoja wa shule za Kata tupa hukoItabidi Mod 5 aanzishe jukwaa LA balehe na athari ya ngono za utotoni
Naunga mkono hoja wa shule za Kata tupa hukoItabidi Mod 5 aanzishe jukwaa LA balehe na athari ya ngono za utotoni
Aaah Mulhat bhana,mimi na wewe tumetoka mbali sana,na tumeisha pigana chalenge humu jukwaani mara nyingi mamii, sema we mwenzangu umeamua kunipotezea.Hahahahaha lolz sijambo mwayego mambozz
Umejuaje km mie ni ke.....
Kwendraaaaa uongoooAaah Mulhat bhana,mimi na wewe tumetoka mbali sana,na tumeisha pigana chalenge humu jukwaani mara nyingi mamii, sema we mwenzangu umeamua kunipotezea.
Basi ngoja nizichimbe post zangu za zamani nikutumie mamii.Kwendraaaaa uongooo
Your girlfriend's boyfriendZa uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
Za uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
Naona ajabu anatuletea mada za kitotoHivi hiki kizazi cha siku hizi kuna wanaume kweli!?
Hahaa hajielewi kweliBora akufuatilie tu maana hujielewi
Poor thinkerZa uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
Naona anamuohopa hiyo njemba ndo maana anataka msaadaDuuuh hii nayo mpya ...Yaani ni sawa na umeibiwa gongo unaenda kituo cha polisi kufungua kesi.....Hatari kwahiyo mkeo ameenda kwa mumewe kushitaki na mumewe kaanza kukufuatilia....??
Hehe hta mm naona hvyo huyu jamaa atagegedwa na huyo bwana wa mkewakebwana ake ataalika wagwadu wakubandue kuwa makini...utaliwa ndogo ohoooo!!!!
EhrhrrheheAnataka jamaa akubandue...naww mpe namba yake bwanako
Hahaahahaaitakua dishi lako limeama uelekeo kidogo aise maana sijakupata
itakua dishi lako limeama uelekeo kidogo aise maana sijakupata
Ungesema tu demu wetuZa uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana.
Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri