Nimfanyaje uyu demu? Maana pamoja na awazachu mtu, ushauri una nafasi jamani. Je; nikumuambia hiyo tabia sipendiiii au utafanyaje kuondoa hii kero. Eti ''nataka nikuone ninashida kuna kitu nataka kununua'' ah, advice plz.
Mkuu sasa asipokuomba wewe atamuomba nani ?
wewe kuwa open kama hauna unamwambia sina, kama unazo zina mpango mwingine unamwambia, kama na wewe hauna unamkopa yeye.., thats life ni kusaidiana na mkiwa wawili wapenzi na marafiki who is better suited kusaidiana na mwenzake kuliko nyie wawili..
So be open kuanzia mwanzo sio tu unatoa pesa sababu amekuomba alafu wewe unashinda njaa (au unampa pesa anazifuja kama vile zinaokotwa wakati wewe umezitolea jasho)..., Always be open, lakini huwezi kugeneralize kwamba sipendi kuombwa unaweza kusema sipendi matumizi yako mabaya (So next time na wewe ukipata shida usisite kumuomba yeye)
Mpe tu baada ya muda atavimaliza anavyotaka kununuwa. Usipompa wewe je uko tayari akaombe kwa mwengine?Nimfanyaje uyu demu? Maana pamoja na awazachu mtu, ushauri una nafasi jamani. Je; nikumuambia hiyo tabia sipendiiii au utafanyaje kuondoa hii kero. Eti ''nataka nikuone ninashida kuna kitu nataka kununua'' ah, advice plz.
Muda mwingine nafikiria huwa ana mwanaume mwingine, hivyo anataka kuniudhi tu, ili nimwache. Lakini nafikiri kwamba atajisikiaje nikimwambia? Au nitulie tu labda ndio weakness yake kwenye -life-time! Mnaangliana face2face alafu unamwambia. Yallaa. She will be hurt if she was not acting!
Mchelea mwanaMcha mwana kulia hulia yeye! Wahenga mara nyingi hawakosei.
Tafuta mnaefanana tabia ...