Demu wa-future lakini anapenda kuomba ela. USHAURI plz.

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Nimfanyaje uyu demu? Maana pamoja na awazachu mtu, ushauri una nafasi jamani. Je; nikumuambia hiyo tabia sipendiiii au utafanyaje kuondoa hii kero. Eti ''nataka nikuone ninashida kuna kitu nataka kununua'' ah, advice plz.
 
Mkuu sasa asipokuomba wewe atamuomba nani ?
wewe kuwa open kama hauna unamwambia sina, kama unazo zina mpango mwingine unamwambia, kama na wewe hauna unamkopa yeye.., thats life ni kusaidiana na mkiwa wawili wapenzi na marafiki who is better suited kusaidiana na mwenzake kuliko nyie wawili..

So be open kuanzia mwanzo sio tu unatoa pesa sababu amekuomba alafu wewe unashinda njaa (au unampa pesa anazifuja kama vile zinaokotwa wakati wewe umezitolea jasho)..., Always be open, lakini huwezi kugeneralize kwamba sipendi kuombwa unaweza kusema sipendi matumizi yako mabaya (So next time na wewe ukipata shida usisite kumuomba yeye)
 
mwanaume wa future lakini haupendi kumwambia mpenz wako kuwa una kerwa na tabia yake yakukuomba pesa.
 
Mkuu sasa asipokuomba wewe atamuomba nani ?
wewe kuwa open kama hauna unamwambia sina, kama unazo zina mpango mwingine unamwambia, kama na wewe hauna unamkopa yeye.., thats life ni kusaidiana na mkiwa wawili wapenzi na marafiki who is better suited kusaidiana na mwenzake kuliko nyie wawili..

So be open kuanzia mwanzo sio tu unatoa pesa sababu amekuomba alafu wewe unashinda njaa (au unampa pesa anazifuja kama vile zinaokotwa wakati wewe umezitolea jasho)..., Always be open, lakini huwezi kugeneralize kwamba sipendi kuombwa unaweza kusema sipendi matumizi yako mabaya (So next time na wewe ukipata shida usisite kumuomba yeye)

well said sun wu
 
Last edited by a moderator:
asipokuomba wewe unataka akamuombe nani?

Na anakuomba mara ngapi? Usikute mara moja moja umefanya nongwa......

Je ulivyomtongoza uliingia kwa gia gani? Au ulijifanya pedeshee?

Mwisho ushakaa na kuzungumza nae? Au akikuomba unamfokea tu basi? Mshapanga kesho yenu? Hizo anazokuomba anafanyia nini? Kama anawekeza na unasema ni wa future ipo siku zitakufaa.....

Wewe ukikwama kifedha hakusaidii?

Keti zungumza na mwenzio bado mna nafasi ya kujenga vile mnataka iwe...
 
Muda mwingine nafikiria huwa ana mwanaume mwingine, hivyo anataka kuniudhi tu, ili nimwache. Lakini nafikiri kwamba atajisikiaje nikimwambia? Au nitulie tu labda ndio weakness yake kwenye -life-time! Mnaangliana face2face alafu unamwambia. Yallaa. She will be hurt if she was not acting!
 
Mwambie mwanamke ambaye sio mke wangu simpi ela.

Afu we umetokea sehemu za usukumani nini mana huko mnapenda kusema ela....badala ya pesa :biggrin:
 
Nimfanyaje uyu demu? Maana pamoja na awazachu mtu, ushauri una nafasi jamani. Je; nikumuambia hiyo tabia sipendiiii au utafanyaje kuondoa hii kero. Eti ''nataka nikuone ninashida kuna kitu nataka kununua'' ah, advice plz.
Mpe tu baada ya muda atavimaliza anavyotaka kununuwa. Usipompa wewe je uko tayari akaombe kwa mwengine?
 
Muda mwingine nafikiria huwa ana mwanaume mwingine, hivyo anataka kuniudhi tu, ili nimwache. Lakini nafikiri kwamba atajisikiaje nikimwambia? Au nitulie tu labda ndio weakness yake kwenye -life-time! Mnaangliana face2face alafu unamwambia. Yallaa. She will be hurt if she was not acting!

Mcha mwana kulia hulia yeye! Wahenga mara nyingi hawakosei.
 
jamani dunia hii ya leo sio ya kuombana ombana hela kila kukicha watu wajitahidi wawe na mawazo ya kujitegemea
 
Ila jamani kuna wanawake wanapiga mizinga vibaya,niliwahi kupigwa mizinga minne katika kipindi kisichozidi masaa 24,niliombwa hela ya supu asubuhi baada ya game,nikaombwa hela ya vocha,nikaombwa hela mama yake anaumwa,nikaombwa hela ya nauli anataka kwenda Arusha kusalimia.Nilikomaje!kilichofuata nikawa hata sipokei simu na ukawa ndo mwisho wa mimi na yeye,Sasa uamuzi ni wako mzee.
 
Mbona hiyo ndio hivyo ilivyo? Utampata wapi demu asiyebom mazee. We mpe tu hana tatizo kabisa.
 
Kuna mawili unaweza ukawa umeombwa mara mbili tu tena kwa mambo ya maana lakini kwa sababu wewe ni mbahili na mchoyo unaanza kuumwa roho, kama unampenda kweli kaa naye muongee umweleza maisha yalivyo na kipato chako mpange mtafanyaje, mapenzi kusaidiana bwana unashidwa kumsaidia leo kesho na wewe ukiwa na shida atakutosa.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom