imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 47,466
- 72,723
Mkurugenzi aende pale Bukoli kuna Mzee mmoja wa Kisumbwa atamrekebisha DC ndani ya muda mfupi.🤣🤣 Wameamua warushiane mikombora livelive
Wasumbwa wanaijua Mizizi mwitu.👹

CCM kupo shwari, naikumbuka hii kauli yako.Umefanya jambo jema sana kuweka ushahidi huo wa kinyaraka maana mimi mwenyewe niliona ni kama kuna jambo halijakaa sawa ,maana isingewezekana DED asafiri tu kienyeji.
Unadhani mkurugenzi kakaa kiboya?ukute hata hiyo safari ya china kaenda Kwa Shaolin monks kuongeza nguvuMkurugenzi aende pale Bukoli kuna Mzee mmoja wa Kisumbwa atamrekebisha DC ndani ya muda mfupi.
Wasumbwa wanaijua Mizizi mwitu.👹
Kumbe! nilidhani wote CCM....CCM kupo shwari, naikumbuka hii kauli yako.
DC ni CHADEMA huyo, hayupo shwari
WAtetezi wa DC na DED wote mnakosea.Madai yake yalifaa kusindikizwa na evidence sio porojo tu.
Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi
Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza na media na anafanya hivyo kwa malengo binafsi wala si uzalendo.
Zahara Michuzi alipata ruhusa kwa kufuata taratibu zote na gharama za safari hiyo hazikulipwa na serikali bali waliomwalika (angalia kiambatanisho hapa chini).
View attachment 2797135
View attachment 2797136
View attachment 2797143
Sasa, PCCB mchunguzeni vema huyu DC kwani anafanya biashara ya madini na kwa sasa anakusanya hela akagombee ubunge huko Chato ila hakubaliki kwani wanamuona ni kiburi, mtata na mgomvi.
Mamlaka zitakuwa na taarifa kuwa aliwahi kumchapa makofi DED alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe!
Huyu ni mtu mmoja wa maigizo. Akiwa DC wa Ukerere enzi za Awamu ya Tano (2019) aliwahi kuibuka na madai yaliyolenga kuwachafua wenzake na kumfanya yeye aonekane mchapakazi mbele za mamlaka.
Wakati huo alidai zaidi ya shilingi milioni 881 za Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe zilikuwa zimefanyiwa ubadhirifu akiwachafua watu sita akiwemo Mganga Mfawidhi wa Wilaya wa wakati huo (Revocatus Cleophace) huku akitoa siku 14 kwa Mkurugenzi wa Wilaya (wakati huo alikuwa Ester Chaula), Mweka Hazina na Afisa Mapato wa Halmashauri hiyo kurudisha pesa hizo.
Angalia hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=h5Ak9ves9dE

Kwanini?Huyu jamaa ana akili sana tena sana. Mungu amlinde. Anafaa kuwa kiongozi mkubwa zaidi wa maamuzi
Nilifikili ni waalimu tu ndo Huwa wanachapwa fimbo na ma-DC,kumbe Hadi DED anapigwa makofi!? DuuuMamlaka zitakuwa na taarifa kuwa aliwahi kumchapa makofi DED alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe
Kwani ni lazima?Sasa kwanini hajampa taarifa dc wake kama huko kote ametoa taarifa
🤣Nchi hii raia yoyote achilia mbali DED yaan raia yoyote akichunguzwa anaenda Jela
Kwa mujibu wa Lucas mwashambwa CCM hawagombani wala kufarakana yaani kupo shwari.Kumbe! nilidhani wote CCM....
Huko ndiko fitina zilikolala asiewajua nani haoKwa mujibu wa Lucas mwashambwa CCM hawagombani wala kufarakana yaani kupo shwari.
Nimejiuliza hao ni kina nani
Kwanza hili ni kosa kubwa sn kifungo chake ni miaka 20 bila fainituwekee na kibali cha kutoa nyaraka za serikali hadharani, kwahiyo wewe umekuwa takukuru?