A
Anonymous
Guest
Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi
Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza na media na anafanya hivyo kwa malengo binafsi wala si uzalendo.
Zahara Michuzi alipata ruhusa kwa kufuata taratibu zote na gharama za safari hiyo hazikulipwa na serikali bali waliomwalika.
Sasa, PCCB mchunguzeni vema huyu DC kwani anafanya biashara ya madini na kwa sasa anakusanya hela akagombee ubunge huko Chato ila hakubaliki kwani wanamuona ni kiburi, mtata na mgomvi.
Mamlaka zitakuwa na taarifa kuwa aliwahi kumchapa makofi DED alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe!
Huyu ni mtu mmoja wa maigizo. Akiwa DC wa Ukerere enzi za Awamu ya Tano (2019) aliwahi kuibuka na madai yaliyolenga kuwachafua wenzake na kumfanya yeye aonekane mchapakazi mbele za mamlaka.
Wakati huo alidai zaidi ya shilingi milioni 881 za Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe zilikuwa zimefanyiwa ubadhirifu akiwachafua watu sita akiwemo Mganga Mfawidhi wa Wilaya wa wakati huo (Revocatus Cleophace) huku akitoa siku 14 kwa Mkurugenzi wa Wilaya (wakati huo alikuwa Ester Chaula), Mweka Hazina na Afisa Mapato wa Halmashauri hiyo kurudisha pesa hizo.
Angalia hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=h5Ak9ves9dE