sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hahahahaaa we acha tu....ukitaka ushuhuda tukutane St Teresa Jumapili
Misa ya kwanza eeh......
Hahahahaaa we acha tu....ukitaka ushuhuda tukutane St Teresa Jumapili
Tena Shost acha tu.
Tuanzishe Kipisi Day.
Na Wajumbe watoke humu humu au sio?
Siku ya furaha ambayo sitakuja kuisahau ni pale nilipopigwa the First Kiss yani Nilipata Shock na Kuelea Sayarini.
Na Siku ya huzuni ni pale nilipofiwa na Mbwa wangu Kipisi.
:rip: Kipisi.
charminglady mzima?Bishanga me cheka sana, why umeanzia 2?
btw pole mkuu hata hvo hyo na. 2 nami inanihusu!
Kwa sababu siku zinaendelea vingi sana vimenifurahisha ni kukoswa na lori la mchanga usiku nikielekea tegeta.
Vizuri ni Mungu kuendelea kuwa na mimi kila siku
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Dah siku ya furaha ni pale nilipoona baraka za Mungu live zikinimwagikia kwa fujo bila kutarajia.....!
Sitasahau milele!
Huzuni mh
heshima mbele wana chit chat, nina imani kila mmoja wetu hapa ana siku 2 ambazo hatazisahau maishani mwake.
1st. ni siku ya furaha, hii siku ambayo ulifurahi furaha isiyo na kifani. . .
2nd. hii ni siku uliyopatwa huzuni hakuna mfanowe!
tiririkeeni wadau ni siku zipi na kwanini ulifurahi / ulihuzunika?????
Dah siku ya furaha ni pale nilipoona baraka za Mungu live zikinimwagikia kwa fujo bila kutarajia.....!
Sitasahau milele!
Huzuni mh
Tena Shost acha tu.
Tuanzishe Kipisi Day.
Na Wajumbe watoke humu humu au sio?
charminglady mzima?
Hivi Bishanga bado yuko Mwanza?
Akiondoka nataka nije kuhakiki km Biashara yake ya dagaa wenye mchanga inaendela vema
Kipipi ushawahi kuziona baraka zenye rangi ya Malaika?
Ndio hizo sasa!
Yaani hata malaika mwenyewe simjui! Au ulikuwa unahisi kizunguzungu cha kipanda uso kaka? Lol
pole Mungi kwa matukio ma2 yakusikitishaMimi siku ya kwanza kabisa ambayo sitasahau katika maisha yangu ni siku nilipojua kukojoa! Ili kuwa siku muhimu sana.
Siku ya pili ambapo sita isahau ni siku ambayo Daudi Mwangosi aliuawa na jeshi la polisi. Ni unyama ambao umenigusa sana, sitarajii kuuona tena.
Mkuu Erickb52 Ayumi wangu alikuwa zaidi ya mbwa, nayo nitaikumbuka kaka! Niliambiwa siku hiyo kuna wahehe walipita pita maeneo wamenifanyia usanii