days to remember!!!!

Ziko nyingi............mojawapo ni niliyokutana na Erickb52 japo kanisusa hata salamu kwa njia ya simu. Huzuni ni alipokamatwa na kusweka rumande............yaani sitasahau siku ile ya furaha iliyochanganyikana na huzuni

duh,hapo umeniacha kwenye yale mataa karibu na s.h amon. siku ya huzuni ya kuwekwa rumande ikachanganyikana na furaha how?
 
Last edited by a moderator:
1. Siku ambayo sitasahau ni siku ambayo nabarikiwa ( first communion). lo lo lo lo sikulala siku hiyo...usingizi hakupatikana nakumbuka usiku ule..Halafu kila baada ya masaa kadhaa usiku nilikuwa naamka nachungulia suti yangu kama ipo na viatu
( Foengo).. Asubuhi nahisi mi ndi nilikuwa wa kwanza kuamka...Hkyanani sitasahau..

2.......hiyo next time..

hongera sana tedo, hv ilikuwa sabini na ngapi vile???
 
Last edited by a moderator:
tena mimi nitakuwa mjumbe.....nikikumbuka jinsi chiki wangu alivyoibiwa....inaniuma sana....hata bwana Mungi nadhani nae atashiriki coz juzi kati hapa kapotelewa na Ayumi.....kuna vitu vinauma jamani......

Afu Preta unajua Mbwa ana mapenzi zaidi ya Boyfriend!!
Yani cku hyo kila Member lazima ataje Mnyama anaemmiliki kama wengine hawajawataja Fisi humu.
Yaani Chiki alikuwa mtamu yule,dah!!
Afu Ayumi ka nilimuona Masaki,si yule mwenye nyoya Jeupe!!
 
Last edited by a moderator:
duh,hapo umeniacha kwenye yale mataa karibu na s.h amon. siku ya huzuni ya kuwekwa rumande ikachanganyikana na furaha how?

Si nilifurahi nilipokutana naye kwa mara ya kwanza afu mida kidogo ikageuka huzuni ilipotokea sekeseke la kukamatwa kwake au ushasahau mwenzetu?
 
Si nilifurahi nilipokutana naye kwa mara ya kwanza afu mida kidogo ikageuka huzuni ilipotokea sekeseke la kukamatwa kwake au ushasahau mwenzetu?

unajua nimesoma comment yako huku namuwaza shemejî yako @C6. jamani we mwanaume unajua bdo cku tano tu. vp shopping huko dar mbona hurudi????
 
da day nilipopata kitu nilikua nakiomba siku zote
huzini bado sijapata na siiombi kabisaaaaa.....
 
Afu Preta unajua Mbwa ana mapenzi zaidi ya Boyfriend!!
Yani cku hyo kila Member lazima ataje Mnyama anaemmiliki kama wengine hawajawataja Fisi humu.
Yaani Chiki alikuwa mtamu yule,dah!!
Afu Ayumi ka nilimuona Masaki,si yule mwenye nyoya Jeupe!!
Madame B, acha mautani bana! hebu mwulize kama ni Ayumi wangu! Preta hebu mwulize Madame B ni mbwa wa jinsia gani mwenye mapenzi zaidi ya Boyfriend
 
Last edited by a moderator:
Madame B, acha mautani bana! hebu mwulize kama ni Ayumi wangu! Preta hebu mwulize Madame B ni mbwa wa jinsia gani mwenye mapenzi zaidi ya Boyfriend

Huyo Ayumi si yule mwenye manyoya meupe?
Ndio huyohuyo niliemuona.

Mbwa mwenye mapenzi na mtu inategemea.
Kama mwanamke mapenzi yatakuwa kwa Mbwa wa Kiume na Kama ni Mwanamme Mapenzi yatakuwa Kwa Mbwa wa Kike
 
Last edited by a moderator:
Huyo Ayumi si yule mwenye manyoya meupe?
Ndio huyohuyo niliemuona.

Mbwa mwenye mapenzi na mtu inategemea.
Kama mwanamke mapenzi yatakuwa kwa Mbwa wa Kiume na Kama ni Mwanamme Mapenzi yatakuwa Kwa Mbwa wa Kike

je vous presante Madame Ayumi........

attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom