days to remember!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
heshima mbele wana chit chat, nina imani kila mmoja wetu hapa ana siku 2 ambazo hatazisahau maishani mwake.
1st. ni siku ya furaha, hii siku ambayo ulifurahi furaha isiyo na kifani. . .
2nd. hii ni siku uliyopatwa huzuni hakuna mfanowe!
tiririkeeni wadau ni siku zipi na kwanini ulifurahi / ulihuzunika?????
 
Siku ya furaha ambayo sitakuja kuisahau ni pale nilipopigwa the First Kiss yani Nilipata Shock na Kuelea Sayarini.

Na Siku ya huzuni ni pale nilipofiwa na Mbwa wangu Kipisi.
:rip: Kipisi.
 
Siku ya furaha ambayo sitakuja kuisahau ni pale nilipopigwa the First Kiss yani Nilipata Shock na Kuelea Sayarini.

Na Siku ya huzuni ni pale nilipofiwa na Mbwa wangu Kipisi.
:rip: Kipisi.

Madame B, nimecheka niaje shostito. kama vp tuanzishe "kipisi day"
 
Last edited by a moderator:
Tena Shost acha tu.
Tuanzishe Kipisi Day.
Na Wajumbe watoke humu humu au sio?

tena mimi nitakuwa mjumbe.....nikikumbuka jinsi chiki wangu alivyoibiwa....inaniuma sana....hata bwana Mungi nadhani nae atashiriki coz juzi kati hapa kapotelewa na Ayumi.....kuna vitu vinauma jamani......
 
Last edited by a moderator:
heshima mbele wana chit chat, nina imani kila mmoja wetu hapa ana siku 2 ambazo hatazisahau maishani mwake.
1st. ni siku ya furaha, hii siku ambayo ulifurahi furaha isiyo na kifani. . .
2nd. hii ni siku uliyopatwa huzuni hakuna mfanowe!
tiririkeeni wadau ni siku zipi na kwanini ulifurahi / ulihuzunika?????
2. The day i lost my father.
1. Nitakuja baadae
 
Kwa sababu siku zinaendelea vingi sana vimenifurahisha ni kukoswa na lori la mchanga usiku nikielekea tegeta.
Vizuri ni Mungu kuendelea kuwa na mimi kila siku

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom