Biashara matangazo wakuu nafanya biashara Ya Forever atakae hitaji juice ya Aloe Vera ani PM ntamletea alipo. Ni nzuri inasaidia vitu vingi mwilini nakuahidi hutajuta.
Sijui kama umepata suluhisho la tatizo lako ila tuna product inaitwa Splina Chlorophyll drink.
inasaidia kuweka balance kati ya tindi kali na alkali mwilini, inatibu vidonda vya tumbo na kukuza uzalishwaji wa chembe chembe za damu mwilini (haematopoiesis)
inasaidia kuondoa sumu mbali mbali mwilini, inaondoa harifu mbaya na inasaidi kupona haraka kwa vidonda.
kama utapenda kufahamu zaidi, wasiliana nami kwa kupitia 0685661790
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.