Dawa ya kiungulia nini?

Jamani watu wenye tatizo hili la GERD tuko wengi, yaani ugonjwa huu unaninyima raha sana, yaani hata kazi hazifanyiki
 
Jamani watu wenye tatizo hili la GERD tuko wengi, yaani ugonjwa huu unaninyima raha sana, yaani hata kazi hazifanyiki

Biashara matangazo wakuu nafanya biashara Ya Forever atakae hitaji juice ya Aloe Vera ani PM ntamletea alipo. Ni nzuri inasaidia vitu vingi mwilini nakuahidi hutajuta.
 
Sijui kama umepata suluhisho la tatizo lako ila tuna product inaitwa Splina Chlorophyll drink.
inasaidia kuweka balance kati ya tindi kali na alkali mwilini, inatibu vidonda vya tumbo na kukuza uzalishwaji wa chembe chembe za damu mwilini (haematopoiesis)
inasaidia kuondoa sumu mbali mbali mwilini, inaondoa harifu mbaya na inasaidi kupona haraka kwa vidonda.
kama utapenda kufahamu zaidi, wasiliana nami kwa kupitia 0685661790
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom