evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,998
- 5,132
Habari za muda huu wanabodi.
Nimekuwa ni nikisumbuliwa na tatizo la "kiungulia" kwa muda mrefu, nimeenda referral hospital, wakanipima wakanambia ni dalili za awali za ulcers, walinipatia dawa nimetumia miezI mitatu nimemaliza lakini bado sijaona mabadiliko.
Mwanzo nilkuwa nikila vyakula vyenye asidi kali kama vile maziwa mgando, dagaa, nyanya zilizopikwa, viazi vitamu n.k vinaniletea shida sana, kiungulia kinazid mno.
Lakini sasa imeenda mbali zaidi hata nikila vifungua kinywa kama vile viazi mviringo (ulaya) vya kukaanga vinanipa shida hiyo au nikila maandaz/chapati na chai bado kiungulia nakisikia.
Kuna mtu akanambia nitumie vitunguu maji, karafuu na mdalasini ndani ya wiki moja nitakuwa vizur, navyo nimetumia lakini bado sijaona mabadiliko, nilichobakia nacho sasa nachotumia kama mbadala wa kiungulia ni majivu ya moto, mara tu baada ya kula huwa natumia majivu, lakini sasa majivu yananiletea kikohoz kwa sababu ya vumbi lake. Nalo naona muda sio mrefu taacha kutumia majivu.
Naomben msaada wenu wa kimawazo nifanye nini kukabiliana na hili tatizo linalonisibu
Nawasilisha.