David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

Mathayo David ni mtoto wa Waziri mkuu mmoja mstaafu

Sijui tamaa au ni nini, kuna time lazma aangalie wananchi wanyonge wanaotafuta only kulisha familia zao hata kama amekuja kupanunua kwa influence ya baba, ubunge wake ama ukwasi wake. Hamna aliyezikwa na hela, soote tunaziacha..

Penda wanadamu wengine..
Japokua umejitahidi sana kuonyesha huruma kwa wasionacho, lakini bahati mbaya ni kwamba Dunia ya kibepari haiendi hivyo.

Yaani mtu asitafute pesa zaidi kwa sababu akifa ataziacha au kwa sababu kuna wanyonge hawana hivyo awaonee huruma ?

Labda kama amevunja haki za wengine kwa kupora, kudhulumu, n.k lakini kama amenunua hayo maeneo kama tunavyoambiwa, sioni kosa la mtu huyu
 
Back
Top Bottom