David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

sasa kama ni mtoto wa Cleopa Msuya, kwa nn akaenda kugombe ubunge Same, na sio Mwanga nyumbani kwake?

Labda hakupenda kupambana na Jumanne Maghembe, Profesa mwingine wa SUA.
Mhh Mama Salma alivyonuna kwenye hiyo picha... Alikuwa anatimiza jukumu la "kichama" tu...
 
Mkitaka kujua utundu na ujinga wa Mathayo muulizeni Prof Batamuzi, alimtimua na sindano yenye anasthesia ya large animals kisa kamuambia ushafeli siku ya pepa, km si kuwa mtoto wa mkubwa ingekuwa chuo hana.

Duh duh duh... Yaani alitaka kumdunga Profesa kwa sindano ya wanyama ikiwa na dawa ya anaesthesia? Nadhani huyo profesa alikimbia kama vile Usain Bolt!

Kwa wanaosema kuwa haijalishi awe na masters au PhD, ni kweli hivyo si vigezo vya uongozi. Ila kama mtu amedai ana elimu hizo na kuwasilisha 'vyeti', na labda ikagundulika kuwa hakupata elimu iliyoainishwa kwenye 'vyeti' hivyo, hapo anakuwa amefanya makosayla (1) kudanganya, na (2) kuwasilisha vyeti ambavyo si sahihi kwa mamlaka husika.
Kwa hiyo issue inakuwa ni ule UONGO.
 
Napendekeza kuwe na utaratibu wa kuweka wazi wasifu wa wanasiasa ili wajulikane reputation zao huku nyuma.
 
Watu wamechanganya mambo na mengine wasiyoyajua. Namfahamu vizuri huyu mheshimiwa. Ni mtu wa Same, siyo Mwanga kwa Cleopa Msuya. Na jina lake ni David Msuya ambalo pia ni jina la babu yake mzaa baba. Huyo baba yake anaitwa Matayo David Msuya. Kwa hiyo aliyesema jina la kwanza la mheshimiwa ni Matayo kakosea, Matayo ni babake. Sasa hilo la kuamua baadaye katika majina yake akatumia la kwake, baba na babu (bila jina la ukoo) sababu anazijua mwenyewe siyo hizi mnazomtungia hapa. Na ni kweli yuko bright katika masomo ya darasani.
 
Kweli kitu usichokifahamu ni kama usiku wa giza!! Bora uulize kuliko kubisha............ inaelekea wewe ni mtoto wa juzi juzi. Kwa taarifa tu Cheyo alishawahi kuwa mbunge wa Magu miaka ya 90!!

Baada ya kifo cha LUPONDIJE
 
Huyu bwana anakufukuza wachimbaji wadogo wote songwe kwa madai kuwa amenunua maeneo yote ya uchimbaji! Sasa hawa wachimbaji wachimbe wapi?haya masoko ya dhahabu yatanunua dhahabu toka wapi?...serikali inawezaje kumuuzia mtu mmoja maeneo yote wakati wanajua huku hamna mashamba wala shughuli yoyote nyingine zaidi ya uchimbaji?
 
Mathayo David ni mtoto wa Waziri mkuu mmoja mstaafu

Sijui tamaa au ni nini, kuna time lazma aangalie wananchi wanyonge wanaotafuta only kulisha familia zao hata kama amekuja kupanunua kwa influence ya baba, ubunge wake ama ukwasi wake. Hamna aliyezikwa na hela, soote tunaziacha..

Penda wanadamu wengine..
 
Ni tapeli mmoja hivi wa kisiasa...jimbon same magharibi
 
Mathayo David ni mtoto wa Waziri mkuu mmoja mstaafu

Sijui tamaa au ni nini, kuna time lazma aangalie wananchi wanyonge wanaotafuta only kulisha familia zao hata kama amekuja kupanunua kwa influence ya baba, ubunge wake ama ukwasi wake. Hamna aliyezikwa na hela, soote tunaziacha..

Penda wanadamu wengine..
Sasa ukimtaja kina huyo waziri mkuu utakufa? Unaogopa nini Sasa???🤬😡😡😡
 
Huyu bwana anakufukuza wachimbaji wadogo wote songwe kwa madai kuwa amenunua maeneo yote ya uchimbaji! Sasa hawa wachimbaji wachimbe wapi?haya masoko ya dhahabu yatanunua dhahabu toka wapi?...serikali inawezaje kumuuzia mtu mmoja maeneo yote wakati wanajua huku hamna mashamba wala shughuli yoyote nyingine zaidi ya uchimbaji?
Mkuu, kama ameuziwa hayo maeneo yote kama ulivyodai, kwanini asiyatumie kwa kadri inavyompendeza ?

Swali langu la pili, hao wachimbaji wadogo wadogo "wamekata vitalu" kwa ajili ya kupata leseni za kuchimba madini kwenye maeneo hayo ?

Usinambie kufanya hivyo ni gharama kubwa tafadhali.

Kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kosa kuchimba madini kwenye eneo ambalo hujaliombea leseni ya kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom