David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

though free state is also not an accredited university!

Nafikiri mwenzetu hujui Free State University tunayoizungumzia. Kwa taarifa yako ni among the top ten Universities in South Africa.

Kama kweli MDM alimaliza PhD yake pale lazima thesis yake ingekuwa iko published na kwa utaratibu wa Universities za RSA lazima angekuwa na atleast two publications. Kwa sababu hiyo I also doubt kama kweli ana PhD.
 
eeeheeh
jamani huyo dogo kwanza kabila la babaake ni wajasirialamali, kuonyesha video, kuwapiga utapeli mabwege n.k ndo sifa zao!!!!!
kuchapa mugro SUA ni kawaida tuu!! yani ni kama kuvuta bangi tosa au umbwe! hii CV imeingiza mambo mengine ya kawaida sana katika makuzi ya mtu!
kutumia jina la ukoo mnh! na kuwa mtoto wa nje wa mh. babaake! wapare bana hawana hiyo mila, uzaliwe nje au ndani haina uhusiano, ila nnachojua asingeweza kupata jimbo la mwanga! labda same kwa *****!
Kama kasoma PhD au MSc kwa chama cha magamba just unasema tuu! mi nna PhD basi! wengi tuu humo ni vihiyo! hadi hili jina limetokana na jamaa mmoja Kihiyo!
Ila the good is Mathayo hakuwa mwanasiasa SUA, na kipindi chote cha miaka 6 hajawahi kushiriki hata tuu utetezi wa maslahi ya wanafunzi! Si kwa ajili ya wananchi! hawezi kuwa mwakilishi wao! sidhani kama amewahi kutumika kwa ajili ya jamii!
 
Huyu kahaba hafai hata uongozi wa kaya? Nashangaa kapewa uwazir

Kwanza umesema ni uwaziri wa kupewa, na pili si yeye tu mwenye elimu na uwezo usiofikia kigezo cha kuwa na ofisi kama yake. NI wengi tu kuna ma dr hewa wengi tu.
That is the way of life. Hii ndio Tanzania.
 
Hao waliosoma nae ni kina nani kaka, si wataje???
Mbona mi nimetumiwa link ya wikipedia na ni hayo hayo?
David Mathayo David - Wikipedia, kamusi elezo huru
Na wikipedia wamesema source yao ni tovuti la Bunge?
1. http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=376
2. http://www.jambonetwork.com
You didn't even bother doing a cosmetic change yani!
Kuweni wakweli sometimes, acknowledge your sources!

it just a copyng n pastng, nadhani hiyo wanayosema source waliosoma nae ni just ku2adaa, hawajui hapa ni "home of great thinker"

thank bro kwa ku2weka wazi.
 
toeni website zilizojitosheleza kwa PhD za science lazima awe amefanya publication si chini ya paper 2 hadi 4 inakuwaje isionekane hata moja? tunaomba tuwe wakweli mimi siwezi ingilia maisha ya mtu binafisi ila hili la elimu naomba sana ajitokeze atupe ufafanuzi
 
temeke huwezi ifananisha na Same...Temeke ni urban centre (metropolitan), maana kunakuwa na watu wa mataifa yote, ni rahisi kuchaguliwa, tofauti na same magh. kwa Mathayo, ni kijijini, huwezi toka wilaya nyingine, ukachaguliwa hapo! ndio maana nikasema haiwezekani, haitawezekana....

Mbona Cheyo alichaguliwa Magu, baadala ya Bariadi, hicho si kigezo,, inategemea na ushawishi
 
Mh. Lema alikuwa mbunge wa ARUSHA MJINI wakati kwao ni Kilimanjaro na hilo unasemaje sasa? Sagaf alikuwa Mbunge wa Dodoma Mjini wakati yeye kwao dar kupitia CCM. Bisha nikupe mifano zaidi.

mkuu nimekuambia tena mjini ni metropolitani, sehemu yenye watu mchanganyiko, haina kubebana kwa undugu au ukabila, sera tu, maana kuna watu mchanganyiko. mimi wala sishangai, but Same magharibi kwa Mathayo, sio mjini, hivyo huwezi toka kwingine ukachaguliwa, lazima uwe mzaliwa wa huko. nadahni umenielewa
 
Mkitaka kujua utundu na ujinga wa Mathayo muulizeni Prof Batamuzi, alimtimua na sindano yenye anasthesia ya large animals kisa kamuambia ushafeli siku ya pepa, km si kuwa mtoto wa mkubwa ingekuwa chuo hana.
 
Wacha ubishi umeambiwa ni DAVID MSUYA.

Hata mimi nimemaliza naye SUA mwaka 1997. sijawahi kumsikia akiitwa Matayo David, Jina lake lilikuwa David Msuya. Nilipo uliza wanasema hizo nisiasa za Uthangi na Uthame. Yaani watu wa same alikogombea ubunge David wasiinge weza mpa kura kama angetumia Jina la Msuya Wa Usangi! so akaamua kujiita David Matayo David.
 
Cheyo ni mbunge wa Bariadi mashariki, magharibi ni kwa Chenge..sasa sijui lini Cheyo kaenda Magu

Kweli kitu usichokifahamu ni kama usiku wa giza!! Bora uulize kuliko kubisha............ inaelekea wewe ni mtoto wa juzi juzi. Kwa taarifa tu Cheyo alishawahi kuwa mbunge wa Magu miaka ya 90!!
 
Huyu David office. Huyo ya jamaa kasoma labda mnamwonea kijicho :yawn: Wana JF nadhani iko haja ya kumheshimu.
 
Jaman anayemchafua ni jirani yake...wana bifu la kisiasa...tusiingie mkumbo sizan kama kuwa mtoto wa msuya ni tija so what...mzee msuya ni mmoja ya wazee waadilifu nchi hii na amekuwa akikemea ufisadi kwa nguvu...mbona kuna wanasiasa wa form four...logic ya hii stor siioni ni nafasi yake au nini...ingia kwenye list ya vyuo vya south kama hapo juu mdau alivyosema ni pretoria mtaona wenzetu huwa hawana longolongo...ila ohhh mara msola kamuita..sijui ikawaje..sasa mm nmesoma udsm nikamaliza 2yrs ago mkuu wangu wa chuo anajua niliko sasa wa udsm....tujadili hoja za msingi...vijijini amna maji wala umeme plus zaanati
 
..mimi nadhani kama mnataka kumpinga Matayo basi mfanye hivyo kwasababu ameshindwa ktk majukumu yake ya ubunge na uwaziri. zaidi mnaweza kuhoji kama kweli ana PhD au hana.

..kuhusu jina la Msuya, kwa uelewa wangu wapo wengi wanaotumia jina hilo lakini hawana mahusiano na Cleopa David Msuya. Kuna mfano wa watu kama Maj.General Ben Msuya, Prof.Philemon Msuya[r.i.p], wote hao hawana mahusiano na Cleopa Msuya.

NB:

..kama kweli Matayo ana damu ya Cleopa Msuya basi tuna kila sababu ya kumlaumu huyu mzee kwa kumtelekeza mwanae akasota ktk shule za vijijini wakati yeye akitanua mjini kwa maisha ya anasa.
 
Back
Top Bottom