David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

Mbona hujasema ule utapeli aliowatepeli wanafunzi wa SUA wapatao 50 hivi. Baada ya kupata kazi Botswana Mathayo David Msuya alirudi SUA na FORMS ambazo alikuwa anaziuaa US $ 100 eti za scholarship ya Botswana. wanafunzi wapatao 50 hivi wa SUA waliingia mkenge na kuzinunua hizo forms kwa matarajio ya kupata scholarship za Botswana, lakini kumbe ulikuwa utapeli baada ya kukusanya hizo pesa Mathayo David Msuya aliingia mitini na pesa hizo, huku nyuma wanafunzi walionunua hizo forms walibaki kulia na kusaga meno kwani kulikuwa hakuna cha scholarship ila UTAPELI wa Mathayo David Msuya.

BTW, mbona hukutaja kale ka mradi kake ka kupiga picha wakati akiwa SUA. Pia kuna mwaka alikuwa amekula disco pale SUA lakini kwa kutumia influence ya Cleopa David Msuya badala ya kumu-disco aka repeat mwaka.
 
Kuna maneno mtaani eti ni mtoto wa nje ya ndoa kwa mzee Cleopa David Msuya ndio sababu ya wazee kumkataza kutumia jina la ukoo katika siasa asije kuharibu sifa na heshima ya baba yake
 
Ndio ni mtoto wa nje Msuya akiwa anakaa pale upanga na mkewe na wanawe tunawafahamu sana huyo si mmoja wao
 
Mbona Mrema aligombea Temeke? Kwani Temeke ni nyumbani kwake? Jenga hoja acha ungedere VIMA (Kinyume cha hilo neno).
temeke huwezi ifananisha na Same...Temeke ni urban centre (metropolitan), maana kunakuwa na watu wa mataifa yote, ni rahisi kuchaguliwa, tofauti na same magh. kwa Mathayo, ni kijijini, huwezi toka wilaya nyingine, ukachaguliwa hapo! ndio maana nikasema haiwezekani, haitawezekana....
 
Mh. Lema alikuwa mbunge wa ARUSHA MJINI wakati kwao ni Kilimanjaro na hilo unasemaje sasa? Sagaf alikuwa Mbunge wa Dodoma Mjini wakati yeye kwao dar kupitia CCM. Bisha nikupe mifano zaidi.
 
Atakuwa ni huyu hapa

David Mathay David.jpg

Hivi huyu jamaa yukoje vile? Maana kwa sura simjui uongo dhambi!!!

Mweye picha yake aiweke basi...
 
Kuna mbunge wa Magamba anaitwa Chambiri ni mbunge wa Babati wakati kwao ni Tarime.
 
Wacha ubishi umeambiwa ni DAVID MSUYA.

Ah! kumbe ni mtoto wa Cleopa Msuya? Kapewa jina la babu yake David! kwa sababu Mh Msuya anaitwa CD Msuya (Cleopa DAVID Msuya)! Mathayo DAVID Mathayo ni kutupotezea tu. Mzee Makamba aliwayi kusema Waziri anazaa waziri, Shekh anazaa Sheikh halafu akajisahau akatamka " na padri atazaa padri"
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...........Msc Thesis ya Matayo ya University of Pretoria hii hapa!!

http://upetd.up.ac.za/thesis/available/etd-02172006-085543/unrestricted/00front.pdf

Title page for ETD etd-02172006-085543

Tunashukuru sana Mr.Zero kwa kuleta hiki kielelezo, kwakweli kimesaidia sana kufuta moja ya hiyo tuhuma eti ya kuwa hana Masters Degree, kwasasa bilashaka litakuwa halina utata. Pia tunaomba tutafutie kielelezo cha hiyo PhD ambayo kwenye tovuti ya Bunge inasomeka kuwa ameipata 2003. Na kutokana na vielelezo vyako hivi, inaonyesha alifuzu Masters degree mwezi September 2001. Bado kunautata kwenye kukamilisha elimu ya uzamivu (PhD) chini ya miaka miwili huku akiwa anasoma Postgraduate Diploma. Utata utaisha mara mara baada ya kuainisha hizo red toka vielelezo viwili hapo chini.

Vielelezo:

(i) CV toka tovuti ya Bunge
email.gif
E-mail this to a friend
print.gif
Printable version
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1375.jpg
First Name: Dr. David
Middle Name: Mathayo
Last Name:David
Member Type:Constituency Member
Constituent: Same Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 9153, Dar es Salaam
Office Phone: +255 784 633 000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: ddavid@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 24 July 1969
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Free States University-South AfricaPhD (Agriculture)20002003PHD
Central Insitute of Management,Ambala City - IndiaPostGraduate Diploma (International Relations)20002001POSTGRADUATE
Pretoria University-South AfricaMasters of Science19982001MASTERS DEGREE
Sokoine University of AgricultureBSc. Veterinary Medicine19921997GRADUATE
Tosamaganga High SchoolA-Level Education19891991HIGH SCHOOL
Galanos Secondary SchoolSecondary Education19851988SECONDARY
Marindi Primary SchoolPrimary Education19781984PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Ministry of Livestock and Fisheries DevelopmentMinister2010Todate
University Affiliates (Agric -Economics + Animal Science)Senior Lecturer20012005
Affiliated Colleges of University of BotswanaLecturer19982001
Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operativesDeputy Minister10/17/20062010
Ministry of Industry, Trade & MarketingDeputy Minister1/1/200610/16/2006
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of Parliament of Tanzania20052010
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of Youth Council20022007
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of National Executive Council(NEC)19972002

(ii) Kielelezo toka Pretoria University
[h=3]Title page for ETD etd-02172006-085543[/h]
Document TypeMaster's Dissertation
AuthorDavidi, Matayo
URNetd-02172006-085543
Document TitleTick control in Tswana, Simmental and Brahman cattle by means of Neem seed extracts (Azadirachta indica)
DegreeMSc Agric (Animal Science)
DepartmentAnimal and Wildlife Sciences
Supervisor
Advisor NameTitle
Dr E C WebbCommittee Chair
Keywords
  • ticks control cattle
  • ticks biological pest control agents cattle
Date2001-09-01
Availabilityunrestricted
Abstract
Please read the abstract in the section 00front of this document
© 2001 University of Pretoria. All rights reserved. The copyright in this work vests in the University of Pretoria. No part of this work may be reproduced or transmitted in any form or by any means, without the prior written permission of the University of Pretoria.
Please cite as follows:

Davidi M, 2001, Tick control in Tswana, Simmental and Brahman cattle by means of Neem seed extracts (Azadirachta indica), MScAgric dissertation, University of Pretoria, Pretoria, viewed yymmdd < http://upetd.up.ac.za/thesis/available/etd- 02172006-085543/ > H984/th
 
Mbona hujasema ule utapeli aliowatepeli wanafunzi wa SUA wapatao 50 hivi. Baada ya kupata kazi Botswana Mathayo David Msuya alirudi SUA na FORMS ambazo alikuwa anaziuaa US $ 100 eti za scholarship ya Botswana. wanafunzi wapatao 50 hivi wa SUA waliingia mkenge na kuzinunua hizo forms kwa matarajio ya kupata scholarship za Botswana, lakini kumbe ulikuwa utapeli baada ya kukusanya hizo pesa Mathayo David Msuya aliingia mitini na pesa hizo, huku nyuma wanafunzi walionunua hizo forms walibaki kulia na kusaga meno kwani kulikuwa hakuna cha scholarship ila UTAPELI wa Mathayo David Msuya.

BTW, mbona hukutaja kale ka mradi kake ka kupiga picha wakati akiwa SUA. Pia kuna mwaka alikuwa amekula disco pale SUA lakini kwa kutumia influence ya Cleopa David Msuya badala ya kumu-disco aka repeat mwaka.

hajawahi ku repeat mwaka ....muwe wakweli bwana....mmesema hana MSc haya thesis imewekwa hapa mmehamia kwenye mambo ya ku disco...
 
hili la kuwa hana MSc limekwisha ..sasa turudi kwa mugro na betty manase...wekeni vielelezo hapa
 
Kwa maneno haya kweli za mwizi ni Arobaini, utapeli huu alitumia na anautumia kuwarubuni wananchi wa jimbolake kwasababu hana mpango mkakati wowote licha ya kutapeli wananch kuwa yeye ndo anaye waletea mahind ya msaada, na kutoa kalenda, na kanga na hongo ili wamchague. Za mwiz arobaini

Back
Top Bottom