Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
naungana na wewe kwa asilimia mia!!!
Hivi CHADEMA wanakusanya kodi? Unaelewa maana ya serikali. Na unataka kusema serikali ya ccm inajenga hilo daraja kwa michango wa wana-ccm au kwa kodi za Tanzania? Lakini isikupe shida, vacate magogoni na kwenye mawizara, acha wazee wa kazi waingie, ndani ya siku tisini (90 days) uje hapa JF uulize tena hilo swali.
Kuhusu Moshi, Moshi unaongoza kwa usafi Tanzania nzima, maji bwerere, barabara zinaeleweka. Hapo magogoni mmeshindwa hata kusafisha soko la samaki, Ikulu inanuka shombo kimoja!