Daraja la Mbutu kujengwa na wakandarasi wazalendo!

naungana na wewe kwa asilimia mia!!!
Hivi CHADEMA wanakusanya kodi? Unaelewa maana ya serikali. Na unataka kusema serikali ya ccm inajenga hilo daraja kwa michango wa wana-ccm au kwa kodi za Tanzania? Lakini isikupe shida, vacate magogoni na kwenye mawizara, acha wazee wa kazi waingie, ndani ya siku tisini (90 days) uje hapa JF uulize tena hilo swali.

Kuhusu Moshi, Moshi unaongoza kwa usafi Tanzania nzima, maji bwerere, barabara zinaeleweka. Hapo magogoni mmeshindwa hata kusafisha soko la samaki, Ikulu inanuka shombo kimoja!
 
...aaah mi nadhani sasa tumeanza kuwehuka na CHADEMA...tunapinga kila kitu kifanywacho serikali hii, na huu wehu katu hauwezi kutuletea mabadiliko tunayoyahitaji....tumeshaanza kukariri kama wazee wetu walivyokariri kuwa CCM was everythng, na sasa sisi tumekariri kuwa kila kizuri kinaweza kufanywa na CHADEMA tu!!? Kiongozi mzuri ni yule anayetoka CHADEMA tu!!! Kiongozi mzuri ni yule anayeweza kuongea mpaka mishipa ya kichwa ikasimama...upuuzi...umejuaje kuwa hao si makandarasi kweli?...kwani sifa ya kandarasi ni kujua kupayuka? Acha siasa za kike? Siasa za kimbea....usilete mada za kupinga maendeleo...it sound girlish
 
Hivi CHADEMA wanakusanya kodi? Unaelewa maana ya serikali. Na unataka kusema serikali ya ccm inajenga hilo daraja kwa michango wa wana-ccm au kwa kodi za Tanzania? Lakini isikupe shida, vacate magogoni na kwenye mawizara, acha wazee wa kazi waingie, ndani ya siku tisini (90 days) uje hapa JF uulize tena hilo swali.

Kuhusu Moshi, Moshi unaongoza kwa usafi Tanzania nzima, maji bwerere, barabara zinaeleweka. Hapo magogoni mmeshindwa hata kusafisha soko la samaki, Ikulu inanuka shombo kimoja!

afadhali umewachana na kuwapa ukweli.
 
naungana na wewe kwa asilimia mia!!!

...ni moshi pekee ndo inaongozwa na chama cha upinzani? Usifananishe viongozi wote wa upinzani na ndesamburo...he is unique, who posses billions...bt not only him, with affiliation to CCM gvt.
 
Nimegundua kuwa itv nayo inaipigia kampeni ccm.

ITV kwa kufikiri wanaipigia CCM kampeni kumbe wanaonyesha unafiki na uongo wa ccm! Tangu Magufuri apige mkwara wa daraja wakati kampeni za Igunga iweje ndio leo baada ya mwaka ndio mkandarasi aonekane? Watanzania wa sasa si wadanganyika!
 
Daraja lilitakiwa liwe limejengwa miaka 10, 20, 30, 40, au hata 50 iliyopita. Leo hii mwaka 2012 ndio ccm wanakumbuka wajibu wao?

Kwahiyo wazo lako ni lipi hapo daraja lisijengwe tu kwasababu lilipaswa lijengwe tangu enzi za Mwl au?
Hebu tuangalie kama vitu hivyo wafanyavyo viongozi wetu vina manufaa gan kwa watz au basi kama havina manufaa ndio tuwabeze"
 
Hivi CHADEMA wanakusanya kodi? Unaelewa maana ya serikali. Na unataka kusema serikali ya ccm inajenga hilo daraja kwa michango wa wana-ccm au kwa kodi za Tanzania? Lakini isikupe shida, vacate magogoni na kwenye mawizara, acha wazee wa kazi waingie, ndani ya siku tisini (90 days) uje hapa JF uulize tena hilo swali.

Kuhusu Moshi, Moshi unaongoza kwa usafi Tanzania nzima, maji bwerere, barabara zinaeleweka. Hapo magogoni mmeshindwa hata kusafisha soko la samaki, Ikulu inanuka shombo kimoja!
Mkuu unatoa ahadi za peponi wakati uko Jehanam.
CDM hawna history yoyote ya utendaji.
Leo wazalendo wanaingia kazini kulinda maslahi Yao binafsi na ya Nchi kwa ujumla.
Kama kawaida endeleeni kupiga doom wakati wanaume wako kazini.
Mwisho wa siku unaishia na domo wakati watanzania wenye bidii wana neemeka na uongozi bora wa CCM.
 
Daraja lilitakiwa liwe limejengwa miaka 10, 20, 30, 40, au hata 50 iliyopita. Leo hii mwaka 2012 ndio ccm wanakumbuka wajibu wao?
Miaka 50 hata babu yako hakuwa na baiskeli ya miti,wala hakuwa analipa kodi.
Sasa Hilo daraja lingejengwa na pesa toka wapi na kwa ajili ya nani?
Ruzuku wanayopewa CDM inaliwa na wajanja hawajawahi hata kujenga choo cha kulipia!
 
Better late than never mkuu,na anyefaidika si mwananchi?
Haki Yake JK mpeni tu.

Umesikia daraja linatarajiwa kukamilika baada ya miezi 18 kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa, kwa maana hiyo linatarajiwa kukamilika mwezi october 2013.

Kwa kadri ya uzoefu wa serikali hii kuchelewesha fedha katika miradi inayotekelezwa kwa fedha za ndani, au pale inapotakiwa kuchangia percent fulani, sitoshangaa tukienda kwenye uchaguzi mkuu 2015 likiwa bado.

Bahati nzuri ninamfahamu mwenyekiti wa makampuni hayo ya kizalendo yaliyopewa kazi hiyo bw. Makigo nitamuuliza terms za huo mkataba.
 
Hivi daraja la kigamboni ujenzi umeanza? maana haya mambo siyo ya kuchekelea kama mwehu na mimi ni mkazi wa Tabora, kuna mikataba mingi yamiaka na miaka, kama ujenzi wa barabara kutoka singida to Tabora, Maji toka Mwanza tunasikia mikataba kila siku, na leo nimemsikia EL akijagamba, eti ardhi imerudishwa hii nikazi ya serikali, kwani walikuwa wameipora hiyo aridhi, so wakiirudisha sikiyu cha kujisifu, na nawapongeza wilotia presha mpaka atleast kusainiwa huo mkataba, ila wasiwapige changa la macho kama sisi wa Tabora

Kama ni rahisi si ungejenga wewe, unangoja nini? na sasa watu au mashirika binafsi ni ruksa kuwekeza kwenye barabara? kimekushinda nini? Unajenga daraja unakula "toll" kwa raha zako.
 
Umesikia daraja linatarajiwa kukamilika baada ya miezi 18 kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa, kwa maana hiyo linatarajiwa kukamilika mwezi october 2013.

Kwa kadri ya uzoefu wa serikali hii kuchelewesha fedha katika miradi inayotekelezwa kwa fedha za ndani, au pale inapotakiwa kuchangia percent fulani, sitoshangaa tukienda kwenye uchaguzi mkuu 2015 likiwa bado.

Bahati nzuri ninamfahamu mwenyekiti wa makampuni hayo ya kizalendo yaliyopewa kazi hiyo bw. Makigo nitamuuliza terms za huo mkataba.

Ikishamuuliza ndio iweje? utauharakisha ujenzi?

Miaka 24 Nyerere limemshinda, miaka 6 JMK barabara za lami nyingi kuliko za awamu zote ukichanganya pamoja. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Katika kuonyesha kuwa serikali ya JK inafanya kweli, leo asubuhi serikali imeingia mkataba na makampuni ya ukandarasi ya kizalendo 13 kutekeleza ujenzi wa daraja la Mbutu huko Igunga.

Uwekaji sahihi kati ya Tanroads na wawakilishi wa wakandarasi hao ulishuhudiwa na Naibu Katinbu Mkuu, Injinia Ndunguru.

Naipongeza serikali kwa hili la kusikia kilio cha wazalendo kupata kazi kubwa ambazo zilihodhiwa na wageni.

Na nyie wazalendo sasa mkaze buti.

....Hongera Mkuu na wewe kwa kupata mradi.........
 
Kama ni rahisi si ungejenga wewe, unangoja nini? na sasa watu au mashirika binafsi ni ruksa kuwekeza kwenye barabara? kimekushinda nini? Unajenga daraja unakula "toll" kwa raha zako.
Pambaf kwani kodi anakusanya yeye ? Hela yote mnatumia kupigia misele na maboeng kwenda nje tuu
 
....Hongera Mkuu na wewe kwa kupata mradi.........
Ha ha ha!
Mkuu Ogah heshima mbele
Nashabikia sana umoja kama huo wa wazalendo,hasa wazawa.
At last badala ya watu kulalamika tu wanaunda umoja wa kushindana na makamuni ya nje.
Ni mfano mzuri wa kuigwa na sekta nyingine za biashara zinazoendeshwa na wazawa.
Watanzania katika sekta mbali mbali wakiwa na umoja sauti yake serikali inasikiliza
 
Umesikia daraja linatarajiwa kukamilika baada ya miezi 18 kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa, kwa maana hiyo linatarajiwa kukamilika mwezi october 2013.

Kwa kadri ya uzoefu wa serikali hii kuchelewesha fedha katika miradi inayotekelezwa kwa fedha za ndani, au pale inapotakiwa kuchangia percent fulani, sitoshangaa tukienda kwenye uchaguzi mkuu 2015 likiwa bado.

Bahati nzuri ninamfahamu mwenyekiti wa makampuni hayo ya kizalendo yaliyopewa kazi hiyo bw. Makigo nitamuuliza terms za huo mkataba.
Mkuu Maranya ina maana kweli ni Makampuni 13 yameungana na kupewe hiyo tenda? Mbona mengi mno? Kwa jinsi ninavyowajua watanzania sijui kama hawatafarakana kwenye kutekeleza huu mradi.

Hongera kwa serikali kuuona umuhimu wa kuwapa watanzania kazi za ujenzi ili kuweza kuusaidia uchumi wetu kwa njia ya multiplier effect.
 
Mimi nimesikia ni makampuni 10, wewe unaniambia ni 13!

Nitawasiliana na mwenyekiti wao Eng. Steven Makigo ili kujua ukweli wa jambo hili, i mean idadi ya makampuni yaliyoungana kupata tenda hiyo.

La kufarakana ni mapema mno kulisema lakini ni muhimu wakachukua tahadhari ili wasijekuwaharibia wakandarasi wengine wazalendo.
 
Kwa uamuzi wa kuwapa kazi kampuni ya kizalendo ninawapongeza.

Lakini kwa kuwa waliahidi kulijenga ndani ya siku tisini katika kampeni za igunga na leo ni takribani karibia mwaka tangu ahadi hiyo ilipotolewa, hii ni sinema ya mwisho kwa ajili ya kuelekea kwenye uchaguzi mdogo wa arumeru hapo jumapili. Wamelazimika kurudisha shamba na sasa wamelazimika kusaini mkataba wa ujenzi wa daraja la mbutu.

Ahadi ya siku 90 kujenga daraja kule Igunga ilitolewa wakati wa Kampeni, jana wakati wa kampeni za Arumeru zikiendelea wameongeza ahadi nyingine kutekeleza ujenzi huo ndani ya miezi miwili kitu ambacho si kweli kuwa kitafanyika kwani kutia saini mkataba ni tofauti na kufanza kazi, kwanza serikali yenyewe haina fedha kwani hata wakati wa Bunge la bajeti tuliyonayo Mwakyembe hakuweza elezea kuwa ni kiasi gani kimetengwa kwa daraja la Mbutu na pesa itakayotumika itatoka fungu lipi, kwa sie tunaopita ktk mto huo tunawaangalia na tutawapatia majibu yao 2015
 
Nashanga kuona mikataba mingi wa ujenzi wa daraja hili, inanipa shida hasa wakati huu wa uchaguzi arumeru, isije ikawa changa la macho. baada ya uchaguzi mdogo igunga waziri magufuli kama ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni,alikwenda na awakandarasi wa kichina aliwatangazia wana igunga kuwa hawa ndio wajenzi wa daraja hilo kwenye site.sasa hajaongea lolote kwa wananchi kama walishajitoa au vp na leo wanabadilika inanitia shaka sana
 
Mimi nimesikia ni makampuni 10, wewe unaniambia ni 13!

Nitawasiliana na mwenyekiti wao Eng. Steven Makigo ili kujua ukweli wa jambo hili, i mean idadi ya makampuni yaliyoungana kupata tenda hiyo.

La kufarakana ni mapema mno kulisema lakini ni muhimu wakachukua tahadhari ili wasijekuwaharibia wakandarasi wengine wazalendo.
Mkuu Maranya siyo mimi ninayekuambia kwamba ni makampuni 13 angalia mtoa uzi mesema mangapi na ndio rejea yangu.

Mkuu naijua vizuri sekta ya ujenzi. Wakandarasi wetu wengi huwa hawako serious. japo na wachina siyo wazuri kihivyo lakini wa kwetu huwa wanajikosesha fursa nyingi sana sababu ya ubabaishaji. Pamoja na hayo huo ni mwanzo mzuri na kama watautekeleza huo mradi kwa ufanisi sioni ni kwa nini wasipewe miradi mingine. wazalendo wana advantage nyingi mno katika kushindana na wageni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom