Daraja la Mbutu kujengwa na wakandarasi wazalendo!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Katika kuonyesha kuwa serikali ya JK inafanya kweli, leo asubuhi serikali imeingia mkataba na makampuni ya ukandarasi ya kizalendo 13 kutekeleza ujenzi wa daraja la Mbutu huko Igunga.

Uwekaji sahihi kati ya Tanroads na wawakilishi wa wakandarasi hao ulishuhudiwa na Naibu Katinbu Mkuu, Injinia Ndunguru.

Naipongeza serikali kwa hili la kusikia kilio cha wazalendo kupata kazi kubwa ambazo zilihodhiwa na wageni.

Na nyie wazalendo sasa mkaze buti.
 
Kwa uamuzi wa kuwapa kazi kampuni ya kizalendo ninawapongeza.

Lakini kwa kuwa waliahidi kulijenga ndani ya siku tisini katika kampeni za igunga na leo ni takribani karibia mwaka tangu ahadi hiyo ilipotolewa, hii ni sinema ya mwisho kwa ajili ya kuelekea kwenye uchaguzi mdogo wa arumeru hapo jumapili. Wamelazimika kurudisha shamba na sasa wamelazimika kusaini mkataba wa ujenzi wa daraja la mbutu.
 
Better late than never mkuu,na anyefaidika si mwananchi?
Haki Yake JK mpeni tu.
 
makandandarasi wazalendo waonyeshe kiwango ili waaminike na kupewa tenda zingine.!!
 
Naipongeza serikali kwa kutambua uwezo uliopo ndani ya Nchi.
Wengine waige si kuwapa kazi wachina kila kukicha.
Big up JK and Magufuli.
 
Kwa uamuzi wa kuwapa kazi kampuni ya kizalendo ninawapongeza.

Lakini kwa kuwa waliahidi kulijenga ndani ya siku tisini katika kampeni za igunga na leo ni takribani karibia mwaka tangu ahadi hiyo ilipotolewa, hii ni sinema ya mwisho kwa ajili ya kuelekea kwenye uchaguzi mdogo wa arumeru hapo jumapili. Wamelazimika kurudisha shamba na sasa wamelazimika kusaini mkataba wa ujenzi wa daraja la mbutu.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Magwanda yanapobana inabidi ujambe kupumuwa.
 
CCm naona wameamua kuwakusanya wakandarasi na kujifanya eti wanaanza ujenzi wa daraja la kule Igunda kama walivoahidi wakati wa kampeni. Nadhani hapo ni siasa inatumika ili kuwaaaminisha watu wa Arumeru kuwa CCM ahadi zao siyo hewa.
Wanawezaje kujenga daraja hilo na wakati wana viporo vingi vya barabara hawajavikamilisha kwa sababu ya ukata?
Kwanza ukiwaangalia hao wakandarasi wenyewe wanaongea bila kujiamini ikiimaanisha kuwa wanachokiongea hawakiamini na ni cha uongo...
Source ni ITV news
 
Hiyo ilishaanza kuwa hoja sasa wameona ngoja wzpige changa la macho. Ukija kuangalia kwa undani unaweza hata kukuta daraja hilo hata hela hakuna ila ni katika mchakato tu wa kumpata mzabuni ila tayari wameamua kuitangaza ili iwe na athari katika uchaguzi na kuziba midomo ya watu wasio na dogo.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
anasema wanaanza kujenga immediately from now!
ukiwaangalia hao wakandarasi mpaka utaona aibu mwenyewe kwa jinsi nyuso zao zilivyo...
 
CCm naona wameamua kuwakusanya wakandarasi na kujifanya eti wanaanza ujenzi wa daraja la kule Igunda kama walivoahidi wakati wa kampeni. Nadhani hapo ni siasa inatumika ili kuwaaaminisha watu wa Arumeru kuwa CCM ahadi zao siyo hewa.
Wanawezaje kujenga daraja hilo na wakati wana viporo vingi vya barabara hawajavikamilisha kwa sababu ya ukata?
Kwanza ukiwaangalia hao wakandarasi wenyewe wanaongea bila kujiamini ikiimaanisha kuwa wanachokiongea hawakiamini na ni cha uongo...
Source ni ITV news
Wbakati wazalendo wanafanyakazi ya kujiongezea kipato halali wewe endelea kupiga domo
Ukisubiri malaika wakuletee neema.
Opportunity never comes twice!
 
Daraja lilitakiwa liwe limejengwa miaka 10, 20, 30, 40, au hata 50 iliyopita. Leo hii mwaka 2012 ndio ccm wanakumbuka wajibu wao?
 
Daraja lilitakiwa liwe limejengwa miaka 10, 20, 30, 40, au hata 50 iliyopita. Leo hii mwaka 2012 ndio ccm wanakumbuka wajibu wao?
Hive CDM walishajenga daraja au chochote kwa matumizi ya umma, wapi vile?
Tuanzie huko Moshi , a chia helikopta ya watu wawili, ile ya pesa Ndesa, atakayetaja nampa jiji la Arusha.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Magwanda yanapobana inabidi ujambe kupumuwa.

Hivi daraja la kigamboni ujenzi umeanza? maana haya mambo siyo ya kuchekelea kama mwehu na mimi ni mkazi wa Tabora, kuna mikataba mingi yamiaka na miaka, kama ujenzi wa barabara kutoka singida to Tabora, Maji toka Mwanza tunasikia mikataba kila siku, na leo nimemsikia EL akijagamba, eti ardhi imerudishwa hii nikazi ya serikali, kwani walikuwa wameipora hiyo aridhi, so wakiirudisha sikiyu cha kujisifu, na nawapongeza wilotia presha mpaka atleast kusainiwa huo mkataba, ila wasiwapige changa la macho kama sisi wa Tabora
 
kweli kbs, ukiangalia airtime waliyowapa ni kubwa sana wakati kitu yenyewe ni ya kawaida kabisa. kwani madaraja mangapi yanajengwa? au hilo daraja ni kama lile la mkapa au la kigamboni? kila mkandarasi aliongea utadhani bonge la ishu! itv watakuwa wanaipigia chapuo ccm kiaina
Nimegundua kuwa itv nayo inaipigia kampeni ccm.
 
Hive CDM walishajenga daraja au chochote kwa matumizi ya umma, wapi vile?
Tuanzie huko Moshi , a chia helikopta ya watu wawili, ile ya pesa Ndesa, atakayetaja nampa jiji la Arusha.

Hivi CHADEMA wanakusanya kodi? Unaelewa maana ya serikali. Na unataka kusema serikali ya ccm inajenga hilo daraja kwa michango wa wana-ccm au kwa kodi za Tanzania? Lakini isikupe shida, vacate magogoni na kwenye mawizara, acha wazee wa kazi waingie, ndani ya siku tisini (90 days) uje hapa JF uulize tena hilo swali.

Kuhusu Moshi, Moshi unaongoza kwa usafi Tanzania nzima, maji bwerere, barabara zinaeleweka. Hapo magogoni mmeshindwa hata kusafisha soko la samaki, Ikulu inanuka shombo kimoja!
 
Back
Top Bottom