Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Mimi huwa namshangaa sana Ritz! Hata kama ni muislamu wa siasa kali uislamu wetu hauna chuki na upande wa pili namna hiyo! Kwanza muislamu yoyote uislamu wake hauwezi kukamilika kama hakiri kutambua uwepo wa ukristo kama jinsi ukristo unavyotambua uwepo wa uislamu! Uelewa mdogo ndio unamfanya Ritz anakuwa mbumbumbu wa mambo ya dini kiasi hiki!

Hapa leo anawatetea ccm na kusahau kuwa ccm ndio waliichafua cuf kuwa ni chama cha udini n
a kigaidi, baadae haohao wakasema chadema ni chama cha wakristo lakini wao hawasemi kuwa ni chama cha dini gani! Sasa ukija hapa ukimuona jinsi ritz anavyotoa povu la udini unajua kabisa aidha uelewa wake ni mdogo au yuko hapa kwa kazi maalum ya kipato kutoka Lumumba.

Mimi ni muislamu lakini napingana sana na misimamo ya Ritz! Alisha diriki kuniambia Mohamedi na chadema wapi na wapi?! Huu ni upovu iliopiitiliza na tangu siku ile niliamua kumsamehe bure na kumkabidhi Mungu maana nimeona ni mtu ambae ana uabisha hata uislamu wenyewe.



Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Yaani wewe unashangaza sana, katika hao hao walokupa like angalia hii post mtu amecomment "Hivi hakuna msajili wa dini Tanzania?
Labda angekuwepo angefuta dini ya uislamu kwenye kumbukumbu zake...lol!"

Hao ndio marafiki zako unaowatetea na kujiita eti wewe ni musilam unasikitisha na kutia imani sana ... nina wasiwasi na uislamu wako! wao wewe hawakutambui na wameenda mbali wanataka uislamu ufutwe , wewe unataka uwatambue ! loh! pole sana kijana !nadhani unafurahisha barza weyye!
 
Wale jamaa wanaotumia mabomu kuzuia leo wapo mapumzikoni?, au wanasubiri chama fulani. Sounds to be an interesting but a challenging story.
 
moderators,naomba muifunge hii thread,inakoelekea siko,kama imefikia pahala pa kukashifu pose ya mtu kumsujudu mola wake,kama imefikia mtu kutoa a blanket condemnation dini fulani ni wajinga,alasalala funga tu hii thread haina tija na wala haijengi jamiiforums as a social media website,take it from me hii thread inaibomoa jf.
 

exactly ! baadhi ya waislam hawajitambui bado
quote_icon.png
By Elungata

wewe unatumika.ujue kwa mwislamu,dini ni first ,chama second

Angalau sasa mnaanza kuonyesha rangi zenu halisi. Hii nimeisikia sana wakati wa uchaguzi 2010 na ndiyo nika conclude kuwa kumbe kuna baadhi ya waislam huwa wanachagua mtu kwa sababu ni dini yao hata kama mtu huyo ni bogus.
Na ndiyo maana mnalalamika mfumo kristo wa serikali ya ccm lakini bado mmeiweka madarakani.
Na ndiyo maana mnaona mnadhulumiwa na mnaandamana lakini bado mnamtetea Kikwete.
Nasubiri kwa hamu sana 2015 ccm watamsimamisha nani?
 


pole sana mkuu! siasa zimekufanya umeshindwa kujitambua!... angalia hawa wanaotukana waislam! zikija thread za chadema hawa hawa utakuta wako mstari mbele kutetea chadema na kutukana CCM ,... wameshahusisha CCM pamoja na uislam! ....

kuna mtu hapo juu kasema uislam bora ufutwe.. mwengine kaenda mbali na kutuita wapumbavu.. unategemea mtu kama huyu nije ni support kwenye siasa! while katukana iman yangu..?! hata kama unachukia CCM tetea iman yako kwanza , unajiita muislam huku upo upande wa hawa wenye kutudhalilisha waislam kwa maneno ya kejeli..?

Mimi nilijiunda 2006 - 2007 enzi za era za jambo forums nilikuwa neutral sana .. nilichoka na kejeli za hawa watu kwa waislam nikaamua kutengeza ID hii kwani nilishindwa kuvumilia baadhi ya watu humu wakidhalilisha imani yangu!..

nakupa pole tena.. kwa kuweka maslahi ya siasa mbele na kufurahi watu wakidhalilisha uislam kwa maneno yao ya kejeli na wajiita muislam..

Hapa ndipo unapo potoka sasa! Unachotakiwa kukifanya wewe ni kuwajibu kwa hoja sio uchochezi na kuleta mifarakano ya dhahiri. Mimi sina urafiki na mtu ane nidharau au kudharau dini yangu na naamini siasa haija nipofusha kama unavyo niwekea maneno mdomoni! Hata hivyo haimanishi kuwa kwa kuwa Joseph kanidharau au kadharau dini yangu basi niwe adui wa kina Joseph wote hapa ulimwenguni! Uislamu hauendei hivyo mkuu.

Najua kuna watu wenye akili ndogo ambao wana maneno ya dharau au kudharau dini za wenzao! Watu wa namna hiyo una deal naye individually sio collectively, na una deal nae kwa kumuelimisha ili baadae aone tofauti ya upande wake na upande wa pili. Vinginevyo kama nita simamia maneno yako, kimantiki itaonyeshakuwa dini yetu nii dini ya uhasama na uadui wakati si kweli na si sahihi.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Mkuu hakuna kitufe cha like, ila chukua like. Huyu jamaa yupo kwenye usingizi mzito, awaulize mashekhe waliomfungisha swaumu nyerere wakidhani baada ya uhuru watakula keki pamoja.
Hawa pro-CDM wengi zinapokuja post zenye mlengo wa dini ya kiislam ndio utakapowajua rangi yao ya kweli.

Kwa maana hiyo nawe unawapiga magirini ndugu zako wa makunda kwa faida yako binafsi sio?

ni vizuri ujinyamazie ee mwigulu nchemba.
 
Hii ndio akili ndogo inayo tawaliwa na akili kubwa! Kuendelea kubishana na wewe unae eneza chuki ya udini ni kutokutendea haki dhamira yangu na kiwango changu kidogo cha madarasa niliyopita. Endelea mkuu muda wa swala umeshafika twende tukaswali umuombe Mungu akuepueshe na hiyo dhambi ya uwongo! chadema ina waislamu 2?! Astahqaful llaah.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Wewe Wakiristo ndani ya Chadema wanaokejeli dini yako umekaa kimya badala ya kupambana nao unapambana na sisi wewe endelea kutumika utatukaniwa dini yako tu...eti mie siasa kali. Kasome dini yako wewe.
 

We kweli kichekesho,kwani mfumo kristo ni kitu gani?huko unapopazungumzia wewe ambapo hatujafika ni wapi?Yore the ones who need help.Kwa minajili hii,Zenji ijitenge mtapata hizo haki za kutkuwepo kwenye mfumo kristo wa wakristo.Maana hakuna haja ya kuwa na taifa ambalo haliwesi kushughulikia maendeleo ya taifa bila kurudishana nyuma kwa upuuzi kama huu ni mengineyo.That's the fact.


nimekupa tu ushauri mkuu! ...

 
QUOTE=Rejao;4582804]Usiwe na Haraka sana, tunafahamu tunachokifanya hapa. Tunasubiri tamko la viongozi[/QUOTE]

Mkuu kumbe u miongoni mwa waandamanaji...Tujuze kinachoendelea.
 
  1. Hivi kipindi cha siku 7 za nyongeza ya SENSA zimeshaisha eh????!!!! Tarehe 26/08/2012 mpaka 1/09/2012 na pili Tarehe 2/09/2012 mpaka 8/09/2012 ambayo ni kesho maana leo ni tarehe 07/09/2012. Sasa hawa jamaa kwanini wameruhusiwa kuandamana ilhali amri ya kuzuia mikutano na maandamano kupisha sensa haijaisha??? Nauliza tu!
  2. IGP Mwema na Kamanda Kova na vijana wao wako wapi? Au kwa vile Kiwete,Mwema,Kova na hawa waandamanaji wanaswali msikiti mmoja?? Nauliza tu!
  3. Hivi haya maandamano yangelikuwa ni ya CHADEMA yangeriluhusiwa kufanyika kwa utulivu namna hii???Nauliza tu!
 
Mie nilisema mapema kwamba serikali kwa kukataa swali la dini inataka kuleta "a mountain out of a molehill" na kuwapa watu fulani justification ya kufanya habari za maandamano kama haya.

Wangewapa tu swali lao la dini tuone what's next. Kusingekuwa na kisingizio cha kuandamana.
 
Cheki ulivyojifunuwa ukajiacha uchi wa mnyama!Kumbe muislam anayeutambuwa ukristo ni adui ya uislam na waislam?tuondoleeni balaa,mupewe Zanzibar.I knew you can't live side by side with other Tanzanians.Certainly najuwa mafisadi mnatumia waislam,lakini who am I hadi wanisikilize kama ni ukweli hamtambui imani za wengine?Mambo ya Alkaeda.

Huwa nakuheshimu sana Mushi, ila leo, naomba nikwambie hivi, nyie muondoke Dar kwa wailsmu mrudi kwenu bara ! mutuwachie Dar yetu halafu muone !
 
Wewe Wakiristo ndani ya Chadema wanaokejeli dini yako umekaa kimya badala ya kupambana nao unapambana na sisi wewe endelea kutumika utatukaniwa dini yako tu...eti mie siasa kali. Kasome dini yako wewe.

Wapo wakristo hata ndani ya ccm wanaoukejeli Uislam. Hao wapo okay??
Tatizo lako mtu akipinga vitu kama dhana ya mfumo kristo, MoU au kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi basi huyo ni adui wa waislam. Wapo waislam wangapi wanaopinga na wala hawataki kuisikia mahakama ya kadhi?
Wewe madhambi huwa unaona ni ya chadema tu ila wakifanya ccm unaandamana huku unawasifu...bogus kabisa...
 
  1. Hivi kipindi cha siku 7 za nyongeza ya SENSA zimeshaisha eh????!!!! Tarehe 26/08/2012 mpaka 1/09/2012 na pili Tarehe 2/09/2012 mpaka 8/09/2012 ambayo ni kesho maana leo ni tarehe 07/09/2012. Sasa hawa jamaa kwanini wameruhusiwa kuandamana ilhali amri ya kuzuia mikutano na maandamano kupisha sensa haijaisha??? Nauliza tu!
  2. IGP Mwema na Kamanda Kova na vijana wao wako wapi? Au kwa vile Kiwete,Mwema,Kova na hawa waandamanaji wanaswali msikiti mmoja?? Nauliza tu!
  3. Hivi haya maandamano yangelikuwa ni ya CHADEMA yangeriluhusiwa kufanyika kwa utulivu namna hii???Nauliza tu!

hii ndo Tz..sheria na Amri zinatungwa kwa ajili ya watu flan flan...
 
Hatuna waalimu wa kutosha hawaandamani.

hatuna madawa ya kutosha mahospitalini hawashiriki kupata jibu lake.

nafika mahala nawahurumia sana hawa jamaa.

huwezi kuitawala dunia kama utakuwa mbumbumbu. waelekeze maandamano upande wa elimu bora.

kwa mwendo huu mkoloni mweupe atarudi tu

Peleka swali kama hilo kwa lile jambazi lenu lililoongoza kwenye maandamano ya kutaka uchaguzi wa Meya urudiwe na kuacha kuandamana kupinga matatizo uliyoainisha, Ponda husema 'Maandamano ya waislam yatayoungwa mkono na Makafiri ni batili' ndo maana hawasubiri ruhusa ya dhalimu kupinga udhalimu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom