Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Bado upo nje ya kile ninachozungumza mimi......hoja yangu ni kukashifu Uislamu na sio dini moja kuihusisha na chama fulani cha siasa....jitahidi kuelewa hoja! Hizo post zote ulizo-quote kutoka kwa Zomba ni zile zinazohusisha CHADEMA na Ukristo na sio kukashifu Ukristo!!! Hapa wapo kibao wanaohusisha Uislamu na CCM, tht's not my concern; my concern ni kukashifu imani za watu; PERIOD!!!

That is one....lakini hata linapokuja suala la nyinyi kuhusisha Uislamu na CCM, bado kuhusisha kwenu huko kunaambatana na kejeli kama vile kusema Waislamu hawajasoma ndo maana wanaiunga mkono CCM, wapo wanaosema Waislamu wanapewa Ubwabwa na Pilau ili kuichagua CCM....mambo kama hayo ndo kashifa ninazozungumzia mimi ambazo wewe na wenzako ndizo base zenu.....!! Ajabu yenyewe, inaonekana ni kama mnajiangalia wenyewe ambao mmepata bahati hiyo kwani ni mtu mwenye uelewa finyu tu ndie anaweza kujigamba kwamba jamii yao wamesoma wakati kuna mamilioni kwa mamilioni ya watu wa jamii ile ile ambao hawajui A wala Be!
Unaona? Hizo ndizo double standards ninazozungumzia. Wewe utajuaje yale maneno ya Zomba yalivyonichoma mimi kama mkristu? Mimi naona yale maneno yamejaa dhihaka kubwa sana kwa dini yangu na kiongozi wa kanisa langu. Kwako wewe kama muislam unaweza kuona yale maneno yamehusisha kanisa na chadema tu lakini mimi kama mkristu naona tofauti kabisa na unavyoona wewe. Na ndiyo maana nikasema umejawa na double standards na ume lack sensitivity ya kutambua upande wa pili unajisikiaje ukikashifiwa. Yaani wewe unanipangia mimi feelings zangu eti unasema
hoja yangu ni kukashifu Uislamu na sio dini moja kuihusisha na chama fulani cha siasa.
Kama amelihusisha kanisa na chadema sawa lakini kama amekwenda mbali na kuanza kusema kanisa linaanzisha vita, kanisa linahonga nk huko ni kudhihaki moja kwa moja dini ya watu lakini hilo wewe kama muislam uliojawa double standards hauwezi kuliona hilo. Wewe ni Uislam tu ukikashifiwa inakuwa nongwa.

Hiki kitu cha mwisho ulichokiandika ni cha busara lakini kinakuonyesha jinsi wewe na waislam wengi humu ndani mlivyo.
Ajabu yenyewe, inaonekana ni kama mnajiangalia wenyewe ambao mmepata bahati hiyo kwani ni mtu mwenye uelewa finyu tu ndie anaweza kujigamba kwamba jamii yao wamesoma wakati kuna mamilioni kwa mamilioni ya watu wa jamii ile ile ambao hawajui A wala Be!
Umeweza kutambua kwamba ni mtu mwenye uelewa finyu tu ndiyo anayeweza kujigamba kwamba jamii yao imesoma wakati kuna mamilioni ya watu wa jamii ile ile hawajui A wala B. Kama nimeelewa vizuri hoja yako inasema: wapo mamilioni ya wakristu wasiojua A wala B , wapo mamilioni ya wapagani wasiojua A wala B na wapo mamilioni ya waislam wasiojua A wala B. Sasa unaweza kuniambia ni kwanini huwaambii waislam wenzako wana uelewa finyu kwa kusema wanadhulumiwa kwenye elimu ilihali umesema hapo kwenye jamii yote kuna mamilioni wasiojua A wala B? Mwenye ufinyu wa uelewa ni huyu tu mwenye kujiona amesoma? ...double standard...
Mkuu hatuwezi kuelewana kwa sababu wenzetu mmewekwa kwenye zege la udini. Hamtoki hapo.
Waislam tunadhulumiwa elimu, waislam tunadhulumiwa ajira, waislam tunadhulumiwa hiki na kile. Hivi tanzania kuna waislam na watanzania wengine au kuna watanzania tu?
Unaonekana ni mtu ambaye shule imeenda. Anza kufanyia kazi maneno yako ya mwisho yenye busara. Anza na waislam wenzako ambao wanaona ni wenyewe tu wananyanyaswa na mfumo huu wakati ni watanzania wote bila kujali dini zetu tunataabika na hali hii.
 
Napita tu, lakini nchi ilipofikia ni pabaya. Sheria ni msumeno. Mungu atunusuru!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom