Dar liiiiiiveeeee!!!!! Sugu

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Mazee yani we yaani,huku ni zaidi ya burudani,kuna muda umeme ulikatika ukumbi mzima watu PIPOOOZ POWER!!!!!!!!! na kweli power ikarudi,mambo yanaendelea kama hatuko mbagala vile,PIIIIPOZ!!
 
Ndo tumefunga shoo mazee,Nassari kashusha mistari ya kufungia,raaaha!
 
Back
Top Bottom