Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,095
1. Mapenzi ya utotoni:
Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na mambo mengine mengi. lakini sasa wana act as if wao walianza mapenzi na kidato cha sita au chuo au na miaka 20.

2. Kikwete na Lowasa:
kipindi cha mwisho Kikwete kilikua hahari sana kwa chama cha CCM, wengi waliamini mwaka 2015 ndio mwisho wa CCM, ilifikia hatua watu wakivaa sare ya chama cha CCM walikua wanazomewa kua mafisadi, wengi walisubiri CCM wamsimamishe Lowasa ili watumie hoja ya ufisadi (Richmond). CCM wakakwepa huo mtego, akapandishwa magufuri, ila leo wamebadilika na kua watetezi wa Lowasa na kumnanga Kikwete. hapa pana mjumuiko wa unafiki pamoja na chuki kwa Kikwete.

3. Umeme wakati wa Magufuli:
Ni kweli kwa sasa mgao wa umeme umekua mkali lakini kwa sasa watu wanazungumzia suala la umeme kama vile kipindi cha magufuli umeme ulikua hausumbui. nakumbuka kuna wakati hadi watu walibeza kua " uchumi wa viwanda labda utaendeshwa na power bank" kutokaa na kukatika kwa umeme. ila leo wanakwambia kipindi cha Magufuli haya mambo hayakuepo kabisa.

Ni vema tukawa watu ambao tunasimamia ukweli, tuseme kwelii hata mana ni chungu.

Mtu ninae muogopa na nisietaka ukaribu nae, ni yule anaeongea uongo akijua ni uongo lakini anaamini/anajifanya ni ukweli.

role number one: DON'T EVER FOOL YOURSELF, ALWAYS FACE REALITY EVEN IF IS UNPLEASANT.
 
1. Mapenzi ya utotoni:
Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na mambo mengine mengi. lakini sasa wana act as if wao walianza mapenzi na kidato cha sita au chuo au na miaka 20.
subiri nikupinge hapa

zamani mpaka utume barua, ujibiwe, bibie ajichange/atafute nauli, apate, aje
mpaka uone nyuchi inachukua mwezi au miezi
bibie anafika umri wa kuolewa mileage iko km kadhaa chache

miaka hii, uwepo wa tagged, whatsapp, SMS na MPesa unakubaliwa na kupata nyuchi chap siku hiyohiyo
mwanafunzi wa kike wa O_level mshipa wa aibu hana, mwanafunzi wa KE wa O_level odometer inasoma 500km huko, bwawa kama lote

pita Gomes nyuma nyuma kwenye reli ile unakuta kapo rika la O_Level wananyonyana mate nje nje
 
Chadema walikuwa wanamsema kwa ufisadi eti leo wamekuwa marafiki kuliko Jk😅😅... Unafiki walimkaribisha fisadi halafu akawasaliti ila baada kafia CCM eti bado wanataka kaonekana wao ni wema kuliko Jk.
 
subiri nikupinge hapa

zamani mpaka utume barua, ujibiwe, bibie ajichange/atafute nauli, apate, aje
mpaka uone nyuchi inachukua mwezi au miezi
bibie anafika umri wa kuolewa mileage iko km kadhaa chache

miaka hii, uwepo wa tagged, whatsapp, SMS na MPesa unakubaliwa na kupata nyuchi chap siku hiyohiyo
mwanafunzi wa kike wa O_level mshipa wa aibu hana, mwanafunzi wa KE wa O_level odometer inasoma 500km huko, bwawa kama lote

pita Gomes nyuma nyuma kwenye reli ile unakuta kapo rika la O_Level wananyonyana mate nje nje
Hakuna mtoto wa shule ya msingi anatumia izo dating apps kutafuta mabwana, it is all organic
 
subiri nikupinge hapa

zamani mpaka utume barua, ujibiwe, bibie ajichange/atafute nauli, apate, aje
mpaka uone nyuchi inachukua mwezi au miezi
bibie anafika umri wa kuolewa mileage iko km kadhaa chache

miaka hii, uwepo wa tagged, whatsapp, SMS na MPesa unakubaliwa na kupata nyuchi chap siku hiyohiyo
mwanafunzi wa kike wa O_level mshipa wa aibu hana, mwanafunzi wa KE wa O_level odometer inasoma 500km huko, bwawa kama lote

pita Gomes nyuma nyuma kwenye reli ile unakuta kapo rika la O_Level wananyonyana mate nje nje
bwawa kama lote,
 
Back
Top Bottom