Dar es salaam wamelala

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Wana JF
Kwa mtazamo wangu naona watu wa mikoani wamejitambua muda mrefu na hata kuchagua wabunge kutoka vyama vya upinzani tokea mabunge yaliyopita(ukiacha kawe na ubungo 2010),ukiangalia msukumo uliopo arusha,mara,mbeya ,kigoma,songea,kagera,mwanza nk utaliona hilo.Je ni kwanini wana dar hawana mwamko sana wa kimapinduzi na ukizingatia wajanja wengi wapo hapo?
Nawasilisha ukumbini
 
Angalia makabila,elimu,economic activities na dini na kwingine umri wa wengi katika hayo majimbo yasiyo ya upinzani utapata majibu,Kawe na Ubungo wajanja wenye akili ni wengi sana ukilinganisha na hayo majimbo mengine ya DSM............:playball:
 
Wana JF
Kwa mtazamo wangu naona watu wa mikoani wamejitambua muda mrefu na hata kuchagua wabunge kutoka vyama vya upinzani tokea mabunge yaliyopita(ukiacha kawe na ubungo 2010),ukiangalia msukumo uliopo arusha,mara,mbeya ,mwanza nk utaliona hilo.Je ni kwanini wana dar hawana mwamko sana wa kimapinduzi na ukizingatia wajanja wengi wapo hapo?
Nawasilisha ukumbini

Dar es Salaam hawajalal kama unvyofikiria. Hawana sababu ya kuwachaguwa wakuja. Utakuta hata hao wabunge wawili ni wakuja tu na wamechaguliwa na wakuja. Na madhara yake yataonekana baada ya muda si mrefu.
 
Umelala usingizi mzito sana! Unaowaita wakuja ndio wako wanao-run that town. Waswahili wao wanacheza ngoma na kucheza bao..
 
oh, ndo maana ilala na temeke mbunge lazime awe born hiahia die hiahia siyo!..Poleni bandugu
 
Umelala usingizi mzito sana! Unaowaita wakuja ndio wako wanao-run that town. Waswahili wao wanacheza ngoma na kucheza bao..

Alituletea Nyerere, sasa tutahakikisha hawashiki, especially Ilala, Kinondoni Temeke. Kwingine huko ni nje ya Dar.
 
Wana JF
Kwa mtazamo wangu naona watu wa mikoani wamejitambua muda mrefu na hata kuchagua wabunge kutoka vyama vya upinzani tokea mabunge yaliyopita(ukiacha kawe na ubungo 2010),ukiangalia msukumo uliopo arusha,mara,mbeya ,kigoma,songea,kagera,mwanza nk utaliona hilo.Je ni kwanini wana dar hawana mwamko sana wa kimapinduzi na ukizingatia wajanja wengi wapo hapo?
Nawasilisha ukumbini

Dsm wanajua haki zao hawawezi kuingizwa mkenge wa kijinga kama wengine wa huko mikoani. Jimbo kama la Ilala linachangia 80% ya mapato ya serikali ya kila mwezi, sasa unafikiri wa kuja anaweza kulishika hilo jimbo? Hata CHADEMA japokuwa makao makuu yao yapo hapa dar waliogopa kuliingia hilo jimbo
 
Kinyaa....!
 
Tatizo la Dar watu njaa kali sana, wajinga wamejaa kigamboni, temeke, kinondoni. segerea wako fiti.
 
Dsm wanajua haki zao hawawezi kuingizwa mkenge wa kijinga kama wengine wa huko mikoani. Jimbo kama la Ilala linachangia 80% ya mapato ya serikali ya kila mwezi, sasa unafikiri wa kuja anaweza kulishika hilo jimbo? Hata CHADEMA japokuwa makao makuu yao yapo hapa dar waliogopa kuliingia hilo jimbo

u r sick, opposite what u r name indicates, uko kama mkwere kasoma uchumi
kihiyo wa hesabu, do you know 80% ya mapato ya serikali? hivi unaongea tu kwa
kuwa una mdomo unaupiga hata mswaki kweli? ILALA itoe 80% ya mapato ya serikali?
ndio vihiyo kama ww mnaongozwa na akina F4 failures, ulizia Zungu, elimu yake
ni ipi, wala haijulikani, ni kihiyo, na ww hivyo hivyo, dump & dumper, wote failures, hata
mbunge wa Temeke wote F4 failures, kazi mduara, ngoma, kiswahili kingi, nothing
more, bna ww akili zako umekalia huna, period
 
Wana JF
Kwa mtazamo wangu naona watu wa mikoani wamejitambua muda mrefu na hata kuchagua wabunge kutoka vyama vya upinzani tokea mabunge yaliyopita(ukiacha kawe na ubungo 2010),ukiangalia msukumo uliopo arusha,mara,mbeya ,kigoma,songea,kagera,mwanza nk utaliona hilo.Je ni kwanini wana dar hawana mwamko sana wa kimapinduzi na ukizingatia wajanja wengi wapo hapo?
Nawasilisha ukumbini
na Tanesco wtaendelea kutesa na umeme sababu wana ccm hawana time kuwabuguzi
 
Back
Top Bottom