Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
- Thread starter
- #21
mapato ya soko la mitumba ashanti au?Dsm wanajua haki zao hawawezi kuingizwa mkenge wa kijinga kama wengine wa huko mikoani. Jimbo kama la Ilala linachangia 80% ya mapato ya serikali ya kila mwezi, sasa unafikiri wa kuja anaweza kulishika hilo jimbo? Hata CHADEMA japokuwa makao makuu yao yapo hapa dar waliogopa kuliingia hilo jimbo