We unadhani ukienda unapick mmoja mmoja ndo utafanikiwa?haya wambie wamweke alfred tibaigana labda utatulizo huo udini wako.
Kwani akiwepo kaimu uchumi wa nchi unashuka ama?
Ni mtiririko tu wa madaraka na majukumu ya Rais kuyasogeza karibu na WANANCHI. RC anatajwa kwenye katiba ya JMT.[/QUOTE]
he!!tz tuna katiba kumbe nilishasahau,..na hiyo ni sababu nyingine ya kuichanachana iliyopo na kuiflush chooni...katiba hii m*v* sana
We mweka hoja kinakusumbua udini tu basi wataweka daniel matayo ili ufurahi, SWAIN
We mweka hoja kinakusumbua udini tu basi wataweka daniel matayo ili ufurahi, SWAIN
Yupo mtu anaKAIMU jamani. Ana nguvu zote kiutendaji. Sio kwamba mkoa hauna RC.
ELUNGATA said:We mweka hoja kinakusumbua udini tu basi wataweka daniel matayo ili ufurahi, SWAIN
Anamsubiri muislam mwenzie amalize degree yake ya dini egypt then amteuwe .si unajua analipa fadhila kwa zile kura walizo mpa.