Dar es salaam na 'kaimu mkuu wa mkoa'

We mweka hoja kinakusumbua udini tu basi wataweka daniel matayo ili ufurahi, SWAIN
 
We unadhani ukienda unapick mmoja mmoja ndo utafanikiwa?haya wambie wamweke alfred tibaigana labda utatulizo huo udini wako.
Kwani akiwepo kaimu uchumi wa nchi unashuka ama?
 
Mbona unalalama hueleweki ndugu, ni udini gani huo unouwongelea? kwani unaposema mdini kwahiyo unataka watu wawe wapagani! sikuelewi ebu fafanuwa una maana ipi!
 
Governing in Tanzania isn’t about political ideology or helping people, It’s about which idiot brother-in-law are you going to give a job because he helped you get into office.
 
Ni mtiririko tu wa madaraka na majukumu ya Rais kuyasogeza karibu na WANANCHI. RC anatajwa kwenye katiba ya JMT.[/QUOTE]

he!!tz tuna katiba kumbe nilishasahau,..na hiyo ni sababu nyingine ya kuichanachana iliyopo na kuiflush chooni...katiba hii m*v* sana
 
We mweka hoja kinakusumbua udini tu basi wataweka daniel matayo ili ufurahi, SWAIN

kwani hata akiwekwa huyo matayo ndio akienda kwake atampa hela eti sababu ni mkristo??acha pumba hizo,..akae muislam au rais mkristo mimi na wewe hatujui wala hatatusaidia kwa sababu ya dini zetu...wake up,..
 
We mweka hoja kinakusumbua udini tu basi wataweka daniel matayo ili ufurahi, SWAIN

mkuu kwa kweli mi nasikitika nikisikia mnajadili mada ya udini ambayo ilishatoweka ktk Jf na hata Tanzania. Mkuu mleta mada hajagusia dini yoyote iweje tuconclude ivi! Je mnatuweka ktk wakati gani sisi ambao familia zetu tumechanganyika waislam na wakristo? Jaman,imani ni imani na ni ya mtu! Mkileta hoja hizi mnatupa wakati mgumu kwa kitu dhahania! Heshimu imani ya mwenzio na tusianze mashindano yasiyo na Tija.
 
Yupo mtu anaKAIMU jamani. Ana nguvu zote kiutendaji. Sio kwamba mkoa hauna RC.

kukaimu si kuwa Rc. Jamani. Na sikatai kuwa kuna kaimu,je kwa nini mh.rais asimkabidhi huyo kaimu uRC kamili? Je nani anakula allowance za kila mwezi za Rc. Mi nshawai kufanya kazi ktk ofisi ya mkoa wa dsm,najua utaratibu vizuri,kuna tatizo hapa! Jk anashindwa nini kumtangaza huyo awe Rc au anataka kusema anampa jaribio? Kwani Rc anaenda kubalance vitabu vya uhasibu kusema kuwa anamjaribu labda atashindwa?na je anayemkaimu uyo aliyekaimu?kwa kukaimu kaimu ivo,kila kiti kinachoachwa wazi lazma mwingne akaimu mwisho wa siku ni usumbufu. Mh.rais mtangaze kaimu uyo au tupe Rc au tueleze kama hauna mpango wa kujaza nafasi. Sijui ni utaratibu wa dunia ipi kukaimu mtu ambaye hayupo kabisa! Najua kama Rc anatumikia adhabu,au anaumwa,au yupo safari,au masomoni,au ana dharura hapa kuna kukaimu,lakini kama mtu hayupo,non-existing je unakaimu nini au nani?kama si usanii?
 
Anamsubiri muislam mwenzie amalize degree yake ya dini egypt then amteuwe .si unajua analipa fadhila kwa zile kura walizo mpa.
 
msilalame sana bado tunawatafuta wanaofaa nafasi hizo na tunasubili mikoa na wilaya mpya zifikie level fulani ili tuwapange hao watawala.

wale wanaohisi watafaa kwenye ukuu wa Mkoa au Wilaya waweke CV zao hapa watusaidie ili tusiendelee kuumiza vichwa hapa.
 
ELUNGATA said:
We mweka hoja kinakusumbua udini tu basi wataweka daniel matayo ili ufurahi, SWAIN

Anamsubiri muislam mwenzie amalize degree yake ya dini egypt then amteuwe .si unajua analipa fadhila kwa zile kura walizo mpa.

Nyie ni ma limbukeni au mataahira...hizi dini mnazosema mletewa na waarabu na wazungu leo nyie mwajifanya ndio wenyewe,... hamjui kitu. Tuachieni nchi yetu salama nendeni huko kwenye ma dini .
 
Hamna ulazima wowote wa kuwa na ma RC na DC kwani ni uharibifu wa pesa za wananchi,katiba mpya ijayo hawa wakuu wa mikoa,wilaya na manaibu mawaziri hatuwataki kwani haya ni matumizi ya mabaya ya kodi za wananchi.
 
Kama muda wote anakaimu u-RC dsm, sasa Lindi kamwachia nani? Au mkoa huo sio dili? Basi wageuze Lindi iwe wilaya!
 
Huyo Tibaigana kama u RPC umri ulikuwa umekwenda kwenye u RC bado angali kijana?
Jamaa alikuwa anautaka ubunge lkn sikuona kama ni kazi iliyomfaa
 
Back
Top Bottom