Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

:eek2: ujue unachosema ni uvunjaji wa sheria? ungetakiwa kuwaeleza usalama haraka iwezekanavyo. sasa saa hizi utawezaje ku ripoti?

Mkuu kama ulikuwa hujui basi ujue sasa hivi ndio kumekucha. Huu sio ule uchaguzi wa mwaka 95 na 05 wa kumpambanisha Mrema na CCM. Huu ushaguzi ni very special, VERY SPECIAL. Magufuli akishinda nitajitolea kukuzawadia gari kama ile aliyoanguka nayo NAPE. Tutafutane mbele ya safari.
 
Majimbo yote ya Dar ambayo bado hayajatangazwa.. ni kuwa UPINZANI yamechukua tayari... ikiwemo KINONDONI, TEMEKE, MBAGALA, KIBAMBA... KAWE... ila CCM wanaleta figisufigisu zao...!!! Tena wameshindwa vibaya...!!! Mfano kama Ubungo, KUBENEA kashinda, Ila CCM wamebanaaaaaaaaaaaa usiku na mchana...!!! Mwishoe... KUBENEA, CHADEMA katangazwa leo...!!!

So, nina uhakika, jimbo la Kigamboni na Ilala tu ndio CCM wameshinda... na ILALA Zungu kashinda kwa KURA CHACHE SANAA SANAAAAAAAA... yaani Hassanali ni mshindi kwa jinsi ilivyo kuwa...but ndio hivyo...!!!

Vipi Segerea kwani kamanda Mtatiro amechukua tayari?
 
Habari ziwafikie wale kina kaka na dada.....Numpties!

halima%2Bmdee.jpg
 
Nimefurahishwa sana,tena sana na ushindi wa mwanadada HALIMA MDEE.

HONGERA HALIMA! Mungu akutangulie
 
hats kinondoni cut wameshinda...watangaze bana huyo muuza unga ameshindwa
 
Halima ni mpambanaji ndani na nje ya Bunge, kwa jamaa kususa na kuondoka kituoni huenda amekiri rohoni mwake kuwa kashindwa
 
Hongera Halima Mdee, wakukupa stess bure. Wewe ni shujaa.

Wachawi na majini wameingia kwenye chupa na kuzamishwa baharini. Wataibuka 2020 tena
 
Kwa huu ushindi wa Halima Mdee ni ushindi dhidi ya Mzee mnafiki Joseph Warioba kwani alijiingiza kwenye kampeni ili tu Mtoto wake spate ubunge kilichotokea ameambulia aibu na kwa sasa anabaki kutoheshimika na Watanzania
 
Back
Top Bottom