Mkuu wa mkoa Dar Es Salaam ashughulike na changamoto zinazotokana na mvua aachane na kuzuia maandamano ya amani ya CHADEMA

kamjabari

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
1,132
1,640
Ndugu wanajamvi poleni na mafuriko hapo Dar es salaam kufuatia mvua kubwa zilizonyesha.

Mvua nyingi na kubwa zimenyesha siku mbili jana na leo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na makazi ya watu na bado kuna tishio la mlipuko wa magonjwa kama kipindupindu na magonjwa ya kuhara.

Barabara zimeharibika, madaraja kusombwa na maji, umeme unakatika hovyo, usafiri umetatizwa jijini hapo na mambo mengine mengi yaliyo wasibu wananchi.

Namna ya kushughurikia changamoto hizi zinahitaji gharama ya fedha, muda sahihi wa kusimamia, na nguvu kazi ya kutekeleza mambo hayo.

Chalamila anapaswa kujikita na changamoto hizi za mafuriko ili kunusuru maisha ya watu na mali zao, Hao wanajedhi anao taka watumike kuvuruga maandamano ya amani ya CHADEMA kwa kigezo cha kufagia barabara za mitaani, ni kulidhalilisha jeshi na badala yake wanapaswa kutumika kusaidia wananchi mtaani na kuwalinda wao na mali zao kama ilivyo kusudiwa na uanzishwaji wa jeshi la wananchi enzi za Mwalimu Nyerere.

Wanajeshi wakajenge vivuko vingi vilivyo sombwa na maji ,na wafanye tafiti sehemu zote hatarishi kwa wananchi zinazotokana na mafuriko na kuzidhibiti ili kuondoa hatari kwa maisha ya raia.

Kwani nguvu na pesa watakayo itumia kwenda mtaani kuzuia maandamano, ndiyo hiyo inapaswa kutumuka kusaidia wananchi.

Vinginevyo Chalamila anataka kutengeneza chuki isiyo na sababu za maana kati ya wananchi na jeshi letu pendwa.

Nawasilisha.
 
Ndugu wanajamvi poleni na mafuriko hapo Daressalaam kufuatia mvua kubwa zilizo nyesha.

Mvua nyingi na kubwa zimenyesha siku mbili jana na leo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na makazi ya watu na bado kunatishio la mlipuko wa magonjwa kama kipindupindu na magonjwa ya kuhara.

Barabara zimeharibika ,madaraja kusombwa na maji ,umeme unakatika hovyo , usafiri umetatizwa jijini hapo na mambo mengine mengi yaliyo wasibu wananchi.

Namna ya kushughurikia changamoto hizi zinahitaji gharama ya fedha,mda sahihi wa kutasimamia ,na nguvu kazi ya kutekeleza mambo hayo.

Chalamila anapaswa kujikita na changamoto hizi za mafuriko ili kunusuru maisha ya watu na mali zao ,Hao wanajedhi anao taka watumike kuvuruga maandamano ya amani ya CHADEMA kwa kigezo cha kufagia barabara za mitaani ,ni kulidhalilisha jeshi na badala yake wanapaswa kutumika kusaidia wananchi mtaani na kuwalinda wao na mali zao kama ilivyo kusudiwa na uanzishwaji wa jeshi la wananchi enzi za Mwalimu Nyerere.

Wanajeshi wakajenge vivuko vingi vilivyo sombwa na maji ,na wafanye tafiti sehemu zote hatarishi kwa wananchi zinazo tokana na mafuriko na kizidhibiti ili kuobdoa hatari kwa maisha ya raia.

Kwani nguvu na pesa watakayo itumia kwenda mtaani kuzuia maandamano ,ndiyo hiyo inapaswa kutumuka kusaidia wananchi.

Vinginevyo Chalamila anataka kutengeneza chuki isiyo na sababu za maana kati ya wananchi na jeshi letu pendwa.

Nawasilisha.
Tatizo yule ni hamnazo
 
Ndugu wanajamvi poleni na mafuriko hapo Dar es salaam kufuatia mvua kubwa zilizonyesha.

Mvua nyingi na kubwa zimenyesha siku mbili jana na leo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na makazi ya watu na bado kuna tishio la mlipuko wa magonjwa kama kipindupindu na magonjwa ya kuhara.

Barabara zimeharibika, madaraja kusombwa na maji, umeme unakatika hovyo, usafiri umetatizwa jijini hapo na mambo mengine mengi yaliyo wasibu wananchi.

Namna ya kushughurikia changamoto hizi zinahitaji gharama ya fedha, muda sahihi wa kutasimamia, na nguvu kazi ya kutekeleza mambo hayo.

Chalamila anapaswa kujikita na changamoto hizi za mafuriko ili kunusuru maisha ya watu na mali zao, Hao wanajedhi anao taka watumike kuvuruga maandamano ya amani ya CHADEMA kwa kigezo cha kufagia barabara za mitaani, ni kulidhalilisha jeshi na badala yake wanapaswa kutumika kusaidia wananchi mtaani na kuwalinda wao na mali zao kama ilivyo kusudiwa na uanzishwaji wa jeshi la wananchi enzi za Mwalimu Nyerere.

Wanajeshi wakajenge vivuko vingi vilivyo sombwa na maji ,na wafanye tafiti sehemu zote hatarishi kwa wananchi zinazotokana na mafuriko na kizidhibiti ili kuobdoa hatari kwa maisha ya raia.

Kwani nguvu na pesa watakayo itumia kwenda mtaani kuzuia maandamano, ndiyo hiyo inapaswa kutumuka kusaidia wananchi.

Vinginevyo Chalamila anataka kutengeneza chuki isiyo na sababu za maana kati ya wananchi na jeshi letu pendwa.

Nawasilisha.
Maandamano yako palepale ,anajizima data tu, anazuia maandamano kama nani kwa mfano
 
Back
Top Bottom