Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

UBUNGE KAWE: Mkurugenzi msaidizi wa Jimbo la Kawe, Onesmo Kayamba amesema matokeo ya ubunge kwa jimbo hilo yatatangazwa saa 8 mchana.

// Mkurungezi wa uchanguzi jimbo ya kawe mwenye update // au namba yake ya simu anirushie nipate matokeo
 
Hili jimbo nadhani litanipa ujiko binafsi na nitajulikana nchi nzima, natafuta hoja za kisheria za kuipandisha NEC mahakamani, nahitaji msaada wa docs kutoka Chadema zikithibitisha mgombea wao kama alijitowa kwa kufuata matwaka ya kisheria za uchaguzi, kama ushahidi huo Chadema wanao nitaomba tafsiri mahakamani ni nini malengo ya NEC Kumuweka mtu ambaye si mgombea kwenye list ya wapigiwa kura?

Mliokelwa na hili naomba mniunge mkono kama hoja za kisheria zipo mimi nitafunguwa kesi hii kama mpiga kura wa Segerea, muda wa kuishi kama makondoo umepita.

Uchaguzi urudiwe hilo jimbo.
Utakuwa umefanya kazi ya maana sana Matola.
 
Mbona sasa hivi ni saa 10 jioni.
Matokeo tayari?
 
kaka tatizo litakuwa kama alijitoa wakati ambao muda wa kujitoa kisheria ulikuwa umepita i think kabla ya kurudisha fomu kama fomu yako ilirudi basi NEC wanakuchukua kama mgombea na jina lako litatoka kwenye ballot paper. kulikuwa na shida sababu huyo dada kaandika barua wakati kampeni zimekwisha anza. ila kama kutakuwa na ufumbuzi wa kisheria kwa kweli tutakuunga mkono
 
kwel mkuu,jamaa kapambana sana.

Wapi kapambana??? Ni mropokaji tu kama wengine wasaka tonge,,, maana alituambia lowassa fisadi halafu Leo tena sio fisadi,, inakuwaje hapa?? alihatarisha maisha kwa mtu ambaye leo yeye ndio mtetezi wake mkuu...
 
Hili jimbo nadhani litanipa ujiko binafsi na nitajulikana nchi nzima, natafuta hoja za kisheria za kuipandisha NEC mahakamani, nahitaji msaada wa docs kutoka Chadema zikithibitisha mgombea wao kama alijitowa kwa kufuata matwaka ya kisheria za uchaguzi, kama ushahidi huo Chadema wanao nitaomba tafsiri mahakamani ni nini malengo ya NEC Kumuweka mtu ambaye si mgombea kwenye list ya wapigiwa kura?

Mliokelwa na hili naomba mniunge mkono kama hoja za kisheria zipo mimi nitafunguwa kesi hii kama mpiga kura wa Segerea, muda wa kuishi kama makondoo umepita.

Hapana mkuu,tatizo si la NEC,vyama vyetu vinavyounda ukawa vilichelewa kuafikiana juu ya utaratibu wa kuachiana baadhi ya majimbo hasa ya DSM.Makubaliano yalifikiwa wakati ambao kila chama kilikuwa kimeshateua mgombea wake na kujaza fomu za ugombea na kuzirudisha tume.Muafaka wa kuachiana majibo hayo ulitolewa baada ya kuanza kampeni,nakumbuka hata tulipozindua kampeni zetu jangwani,viongozi wetu waliwapandisha wagombea wawili kwa majimbo ya Segelea na Kigamboni.Baada ya kama wiki moja ndipo ikaamuliwa Kigamboni waachiwe Chadema na Segelea ibaki Cuf,kilichofuatia hapo ni ubinafsi wa wagombea wenyewe kwa kiburi chao kilichotokana na tume kurudisha majina yao wakaamua kuendelea na Kampeni mbazo leo hii zimesababisha kupoteza majimbo hayo mawili.Umoja wa ukawa unapaswa kuchukua hatua Kali dhidi ya wale wote waliosababisha kwa namna moja au nyingine kuzigawa kura zetu.Hatua ya kwanza ni kuwafuta uanachama wagombea wote walioombwa wajitoe ili kumpisha mgombea aliopitishwa na Ukawa ila kwa kiburi chao wakakataa.Wafutwe uanachama ili liwe fundisho kwa wale wote wasiotaka kufuata taratibu za vyama vyetu.
 
do things at the right time,
 
Uchaguzi urudiwe hilo jimbo.
Utakuwa umefanya kazi ya maana sana Matola.
Hii ndio hoja yangu, maana Mtatiro ameonesha kutokuwa na nia ya kuchukuwa hatuwa za kisheria.
kaka tatizo litakuwa kama alijitoa wakati ambao muda wa kujitoa kisheria ulikuwa umepita i think kabla ya kurudisha fomu kama fomu yako ilirudi basi NEC wanakuchukua kama mgombea na jina lako litatoka kwenye ballot paper. kulikuwa na shida sababu huyo dada kaandika barua wakati kampeni zimekwisha anza. ila kama kutakuwa na ufumbuzi wa kisheria kwa kweli tutakuunga mkono
Ndio maana nahitaji ushirikiano katika hili wanasheria wa UKAWA watusaidie kutupa ushahidi, hili tupate hoja za kisheria, maana hata mimi sina uthibisho kama alijitowa kweli kwa taratibu zinazotakiwa.
Hapana mkuu,tatizo si la NEC,vyama vyetu vinavyounda ukawa vilichelewa kuafikiana juu ya utaratibu wa kuachiana baadhi ya majimbo hasa ya DSM.Makubaliano yalifikiwa wakati ambao kila chama kilikuwa kimeshateua mgombea wake na kujaza fomu za ugombea na kuzirudisha tume.Muafaka wa kuachiana majibo hayo ulitolewa baada ya kuanza kampeni,nakumbuka hata tulipozindua kampeni zetu jangwani,viongozi wetu waliwapandisha wagombea wawili kwa majimbo ya Segelea na Kigamboni.Baada ya kama wiki moja ndipo ikaamuliwa Kigamboni waachiwe Chadema na Segelea ibaki Cuf,kilichofuatia hapo ni ubinafsi wa wagombea wenyewe kwa kiburi chao kilichotokana na tume kurudisha majina yao wakaamua kuendelea na Kampeni mbazo leo hii zimesababisha kupoteza majimbo hayo mawili.Umoja wa ukawa unapaswa kuchukua hatua Kali dhidi ya wale wote waliosababisha kwa namna moja au nyingine kuzigawa kura zetu.Hatua ya kwanza ni kuwafuta uanachama wagombea wote walioombwa wajitoe ili kumpisha mgombea aliopitishwa na Ukawa ila kwa kiburi chao wakakataa.Wafutwe uanachama ili liwe fundisho kwa wale wote wasiotaka kufuata taratibu za vyama vyetu.
Naunga mkono hoja huyu Anatropia afutwe uanachama mara moja amesaliti maamuzi ya wanasegerea kuikataa ccm na mambo yake yote.
 
UPDATES FROM OYSTERBAY:

Hatimaye Halima Mdee mgombea wa CHADEMA katika jimbo la kawe ametangazwa Rasmi kuwa ni mshindi wa kiti cha Ubunge.

...source?! au upo eneo la tukio? hebu confirm hapa roho yangu itulie,nimechoka kusubiri..
 
Hili jimbo nadhani litanipa ujiko binafsi na nitajulikana nchi nzima, natafuta hoja za kisheria za kuipandisha NEC mahakamani, nahitaji msaada wa docs kutoka Chadema zikithibitisha mgombea wao kama alijitowa kwa kufuata matwaka ya kisheria za uchaguzi, kama ushahidi huo Chadema wanao nitaomba tafsiri mahakamani ni nini malengo ya NEC Kumuweka mtu ambaye si mgombea kwenye list ya wapigiwa kura?

Mliokelwa na hili naomba mniunge mkono kama hoja za kisheria zipo mimi nitafunguwa kesi hii kama mpiga kura wa Segerea, muda wa kuishi kama makondoo umepita.

Nakuunga mkono kwenye hili mkuu
 
Back
Top Bottom