4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 17
Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii,
Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya kabisa simuelewi mwenzangu kama ndo ameshanichoka, anapretend au natingishiwa kiberiti. Niorodhesheeni dalili zote za mwanamke aliyemchukoka mumewe hapa tafadhalini, nisije nikageuka kuwa chizi hivi hivi.