Dalili...!!

Naona nimepata kadalili kamoja kanalingana na ka kwangu...kwa maana hio mwanamke kumbe anapoleta mapoz kwenye ku do hiyo ni signal mojawapo! Lakini wa kwangu yeye tuna do ila siku hizi kaleta kamchezo ka kudo na condom! madai yake eti alifanyiwa operation, na sasa zimeshapita wiki sita...anaogopa kupata mimba. Nilimwambia nitamwaga njee kakataa kabisa. Ila na hisi ni kwa sababu hapo awali kabla ya hiyo operation, alinibambaga nimemtumia my small house a romantic greeting card ya easter! Sasa sijui ndo maana kabadilika namna hii au vipi. Sijui hata nianzie wapi na hisi kuchanganyikiwa lanyeeee.

sas kumbe jibu unalo ya nini kuzungusha watu vichwa
aaaaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!! some pipo bwana yak!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani sasa nianzie wapi...mbona sipewi msaada jamani. Na pia kitu kingine alikuwa ni mtu wa ndani sana yani hapendi kutoka toka, hakuwa na mashoga wa hivyio...lakini hivyo vyote naona anavianza tena kwa kasi sana. Nisaidieni mwenzenu nimfanye nini mumsap wangu! I love her alot.

tulia kwanza unyolewe ni zamu yako!!! si ulichukuia advantage upendo wake na uaminifu kwako........endelea kupoozea kwa kale ka small house till your marriage breaks irreparably!! nione kwa processes and procedures za divorce....
 
Dah! We dada samahani, hivi una cheo gani jeshini?
 
kumbe matatizo umeyaanza mwenyewe,wife kagundua wewe si mwaminifu ndo maana amefanya uamuzi mzuri wa kutumia protection,ni juu yako kurekebisha tofauti zenu sasa
 
sasa unalalamika kuwa ana tumia condom au what exactly is ur problem? atleast u r getting something... unabahati wewe...

Look (And I'm certain I've said this before) A man who cheats is the ultimate wh*re! Dealing with multiple fame-Wh*res! If he found a mistress thats "giving him the attention he needs" why look for others?:frown:
 
Kutumia condom ni dalili za kuchokwa? Je kumtumia mercury (Hg) kadi ya pasaka si kumchoka mtu? Kaka ikiwaka mulika; ikizima papasa. Ni zamu ya kupapasa mpendwa.
 
dalili ya kwanza kabisa atakuwa anafanya mambo yote kunyume na ilivyokuwa amini usiamin
 
sipendi wanaume aina yako. period

matatizo uanze wewe halafu unajifanya hujui, hovyoooooooooooooooooo!!
 
Mmm u love her alot na nyumba ndogo huishi?hilo la msg za easter ndilo tu.u are toast my dear.umemsaliti kabisa!
 
Naona nimepata kadalili kamoja kanalingana na ka kwangu...kwa maana hio mwanamke kumbe anapoleta mapoz kwenye ku do hiyo ni signal mojawapo! Lakini wa kwangu yeye tuna do ila siku hizi kaleta kamchezo ka kudo na condom! madai yake eti alifanyiwa operation, na sasa zimeshapita wiki sita...anaogopa kupata mimba. Nilimwambia nitamwaga njee kakataa kabisa. Ila na hisi ni kwa sababu hapo awali kabla ya hiyo operation, alinibambaga nimemtumia my small house a romantic greeting card ya easter! Sasa sijui ndo maana kabadilika namna hii au vipi. Sijui hata nianzie wapi na hisi kuchanganyikiwa lanyeeee.

Kumbe umeharibu mwenyewe harafu unatafuta dalili kweli we mbaya ..ngoja hasira zake ziishe atakuwa amesha-make descion .....anza kufikiria maisha ya u-bachela tena.
 
kwa vile we ndo ulifumaniwa na vicard inabd mkapime ngoma na kumhakikishia hutarudia! huenda kikaeleweka
 
aaah huyu hizo ction anazopewa ndo size yake!! alijifanya mjanja kuona mke kainama tu hakujua anatunga sheria!!
 
Dalili ya kwanza ambayo ulishaiona ni kuwa anakuwa hakuamini tena kwenye ushauri. Mwanamke ni mtu wa kuhitaji ushauri wa hapa na pale kama vile nivaeje, nipande maua gani, na viishu vidogodogo mitaani na kazini. Ukiona sasa ni mkimya na hajali kukuuliza kitu, Jua tayari ameshaanza....

Msaada ni kwamba try to bring new world unto her. Kumbuka dreams zake kwa mambo aliyokuwa anapenda kuja kuaquire baadae halafu we sassa anza kuwa siriazi na bize kama vile unamsaidia afikie ndoto zake. Ataanza kukutrust...
 
Naona nimepata kadalili kamoja kanalingana na ka kwangu...kwa maana hio mwanamke kumbe anapoleta mapoz kwenye ku do hiyo ni signal mojawapo! Lakini wa kwangu yeye tuna do ila siku hizi kaleta kamchezo ka kudo na condom! madai yake eti alifanyiwa operation, na sasa zimeshapita wiki sita...anaogopa kupata mimba. Nilimwambia nitamwaga njee kakataa kabisa. Ila na hisi ni kwa sababu hapo awali kabla ya hiyo operation, alinibambaga nimemtumia my small house a romantic greeting card ya easter! Sasa sijui ndo maana kabadilika namna hii au vipi. Sijui hata nianzie wapi na hisi kuchanganyikiwa lanyeeee.

Yaaaaaaaaaaaaani wewe!!! Kumbe unajua chanzo, na sababu ya wifi kununa, nilifikiri ameanza tu from nowhere.
 
Jamani sasa nianzie wapi...mbona sipewi msaada jamani. Na pia kitu kingine alikuwa ni mtu wa ndani sana yani hapendi kutoka toka, hakuwa na mashoga wa hivyio...lakini hivyo vyote naona anavianza tena kwa kasi sana. Nisaidieni mwenzenu nimfanye nini mumsap wangu! I love her alot.

Mwite u'r small house, na mkeo akiwepo, mwambie aje na hile card ya Ester, uchane hile card mbele ya my wife wako, muombe mkeo msamaha mwambie hautakaa uludie na huyo small house mwambie akukome, wewe unaye anayekupa usingizi ambaye ndo huyo my wife wako kwa hiyo small house akukome kabisa. Husifanye kavu kavu bila mabusu moto moto hata kama ni ya kulazimisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom