Dalili...!!

4X4byfar

JF-Expert Member
Oct 29, 2008
201
17
Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii,

Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya kabisa simuelewi mwenzangu kama ndo ameshanichoka, anapretend au natingishiwa kiberiti. Niorodhesheeni dalili zote za mwanamke aliyemchukoka mumewe hapa tafadhalini, nisije nikageuka kuwa chizi hivi hivi.
 
yeah tuaambie ulichoona!

Kwanza anagalia vitu vyoote alivyokuwa akivifanya wakati wa furaha yenu nyote!

Kama havifanyiki walau kwa asilimia ndogo basi kuna walakini!

Ila kaa naye kwanza; Give her the benefit of the doubt; usikimbilie kujishtukia! Let your fears be known to her!
 
Asanteni kwa kunijibu...ila nilipenda zaidi kama ningepata hizo signs ili niziowanishe na zangu.
 
Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii,

Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya kabisa simuelewi mwenzangu kama ndo ameshanichoka, anapretend au natingishiwa kiberiti. Niorodhesheeni dalili zote za mwanamke aliyemchukoka mumewe hapa tafadhalini, nisije nikageuka kuwa chizi hivi hivi.

Kumbukumbu za posti zako za nyuma zinaonyesha kuwa wewe ni mwanamke...... natanguliza samahani.
 
dalili ya kwanza kabisa utalijua buzi lake, either kwa kulisikia au hata kuliona, then kuanzia hapo we mwenyewe utajiju
 
Duh! Ikishafika hiyo hatua... mmh! kwa kweli; hiyo ni "point of no return"...

Usiombe!
Uliza wenzio..uta return tu..Kuna wenzio hulia na kupiga magoti ati.
Mamsap anamwambia Bwan Fulani sikutaki tena nimekuchoka naanza mbele..utashuhudia kilio hapo..hutaamini mzee mzima analia kama mtoto mdogo. Tema mate chini.
 
Kaa na mwenzio faragha, zungumza naye kwa kituo, ili kujuwa kulikoni... Wala usitumie hasira... anza kama vile ulivyokuwa unamzengea... Naye ni binadamu atakufahamisha tu tatizo liko wapi kuliko kutafuta dalili ambazo zinatofautiana kutoa mtu hadi mtu ukaja toa maamuzi ambayo utakuja kuyajutia baadae.
 
Usiombe!
Uliza wenzio..uta return tu..Kuna wenzio hulia na kupiga magoti ati.
Mamsap anamwambia Bwan Fulani sikutaki tena nimekuchoka naanza mbele..utashuhudia kilio hapo..hutaamini mzee mzima analia kama mtoto mdogo. Tema mate chini.

Dah! Kweli siombei kufikia hatua hiyo...
 
Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii,

Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya kabisa simuelewi mwenzangu kama ndo ameshanichoka, anapretend au natingishiwa kiberiti. Niorodhesheeni dalili zote za mwanamke aliyemchukoka mumewe hapa tafadhalini, nisije nikageuka kuwa chizi hivi hivi.
Kwanza atakuletea mapozi kwenye suala zima la unyumba-visingizio vitakuwa kibao ili mradi tu usimduu.
Pili ile heshima aliyokuwa anakupa hata mbele za watu itapungua,hasa ubishi utaongezeka coz atakuwa
anajua hana shida na wewe tena-liwalo na liwe!
Anyway,kaa naye kimapenzi umuulize ni wapi ulipokosea mpaka amefikia hapo.
 
Pole sana lakini hujachelewa kurekebisha hali unayoiona nyumbani. Kaeni chini na umueleze bila ukali kile unachokiona na kumuomba akueleze ukweli kuhusu kinachoendelea. Unaweza kukuta hakuna chochote kilichomchosha bali labda ni maudhi madogo madogo tu.
 
...ameokoka ghafla,jioni kila siku anaenda kwenye vikundi vya akina mama ama kuimba kwaya teh teh

...ukirudi nyumbani,anakuwa bize sana atatafuta hata shughuli isiyo na kichwa wala miguuu kama kumwagilia maua teh teh

....ukweli huwa kuna kuchoka,its time she has a holiday,mmoja asafiri ama wote msafiri mbadili mazingira ya kuduu hapo nyumbani...
 
Naona nimepata kadalili kamoja kanalingana na ka kwangu...kwa maana hio mwanamke kumbe anapoleta mapoz kwenye ku do hiyo ni signal mojawapo! Lakini wa kwangu yeye tuna do ila siku hizi kaleta kamchezo ka kudo na condom! madai yake eti alifanyiwa operation, na sasa zimeshapita wiki sita...anaogopa kupata mimba. Nilimwambia nitamwaga njee kakataa kabisa. Ila na hisi ni kwa sababu hapo awali kabla ya hiyo operation, alinibambaga nimemtumia my small house a romantic greeting card ya easter! Sasa sijui ndo maana kabadilika namna hii au vipi. Sijui hata nianzie wapi na hisi kuchanganyikiwa lanyeeee.
 
jibu kumbe unalo...bado ameresent....

duh mpe pole sana,usipojitahidi hiii ndoa itakufa
 
Usiombe!
Uliza wenzio..uta return tu..Kuna wenzio hulia na kupiga magoti ati.
Mamsap anamwambia Bwan Fulani sikutaki tena nimekuchoka naanza mbele..utashuhudia kilio hapo..hutaamini mzee mzima analia kama mtoto mdogo. Tema mate chini.

Hajui utamu wa tundi huyo Msamehe!
 
jibu kumbe unalo...bado ameresent....

duh mpe pole sana,usipojitahidi hiii ndoa itakufa

Jamani sasa nianzie wapi...mbona sipewi msaada jamani. Na pia kitu kingine alikuwa ni mtu wa ndani sana yani hapendi kutoka toka, hakuwa na mashoga wa hivyio...lakini hivyo vyote naona anavianza tena kwa kasi sana. Nisaidieni mwenzenu nimfanye nini mumsap wangu! I love her alot.
 
...sema na yeye ni mkali sana na ni mwanamke wa principle sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom