Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Mwite u'r small house, na mkeo akiwepo, mwambie aje na hile card ya Ester, uchane hile card mbele ya my wife wako, muombe mkeo msamaha mwambie hautakaa uludie na huyo small house mwambie akukome, wewe unaye anayekupa usingizi ambaye ndo huyo my wife wako kwa hiyo small house akukome kabisa. Husifanye kavu kavu bila mabusu moto moto hata kama ni ya kulazimisha.
Anao ubavu wa kuamua kasheshe linaloweza kuzuka hapo! Isitoshe Small house hana kosa; alifuatwa na kwa kuwa naye ni muhitaji akakubali!