El'son
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 380
- 324
Usionee so sema kweli.
Ni hatari magonjwa ya zinaa yanasumbua sana wanaume wengi yametutesa wanawake vile vile. Yapo magonjwa mengi ya zinaa kama vile:
Kisonono
Gono
Kaswende
Pangusa
Haya magonjwa yametusumbua wengi sana,watu wameahangaika kujitibu wapo waliofanikiwa kutibu haraka wakapona.pia wapo waliochelewa na ikawa vigumu kutibu. Waliochelewa wamehangaika miaka nenda rudi lakini bila mafanikio bado wanaugulia.
Haya magonjwa yanatabia tofauti tofauti, ila kama ukichelewa kutibu yapo ambayo huingia kwenye damu na ukawa huoni dalili lakini kumbe yanakutafuna ndani kwa ndani.
Dalili za magonjwa ya zinaa:
1. Kutoka uchafuu kwenye njia ya haja ndogo (usaha)
2. Kusikia maumivu wakati wa kujisaidia haja ndogo
3. Kutokwa na vidonda sehemu za nyeti
4. Kutopata hamu ya tendo.
Hizi dalili zimetofautina baina ya wanawake na wanaume.wanaume wanahi kuona dalili ndani ya muda mfupi kama siku Tatu mpaka wiki baada ya kuambukizwa.
Ila wanawake wanachelewa kuziona dalili kutokana na maumbile inaweza chukua miezi 3 mpaka 6 kuona dalili.
MATIBABU:
Yapo aina mbali mbali kama vile
Kutumia antbiotic kama
Cipro
Metronidalze
Injection kama vile ceptriaxone.
Vijana wengi wamesumbuliwa na magonjwa haya hivyo ni vyema uonapo dalili uende kituo cha afya mapema.
ATHARI:
1. Maumivu makali
2. Ugumba
3. Kutokusikia hamu ya tendo
4. Uume kutokusimama vyema
SWALI:
- Je umeshawahi kukutwa na moja wapo ya hayo magonjwa?
- Ulitibiwa ipasavyo na ukapona?
- Je dalili zilikwisha kabisaa.
NB
Toa uzoefu wako ili na wengine wajifunze kupitia kwako.