incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Wanaojua dalili hizi ni za ugonjwa gani wanisaidie na tiba yake ni nini?
DALILI
- Kutokwa na uchafu kama uji hata akivua chupi anaukuta.
- Kuhisi maumivu wakati wa sex kisha muwasho baada ya tendo.
- Uke kutoa harufu mbaya.
- Uke kutoa vitu kama maziwa ya mgando hasa ukichomoa mjegeje vinakuwa vimeji attach.
- Muda mwingine kuhisi homa kali.
- Uke kupoteza majimaji.
- Kupoteza hamu ya tendo, nahisi hii imechangiwa na maumivu wakat wa sex etc.
Anaejua tiba msaada bandugu.