Wadau ukiacha HIV, tujuzane dawa kiboko za kutibu magonjwa ya zinaa

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,417
11,081
Wasalaam nyote,

Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa.

Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa.

Basi ni vema walau tuambiane dawa kiboko za kutibu UTI, Gono, Kaswende na matakataka yote. Asikwambie mtu mademu karibia 85% wanauza au wanachepuka na wanaume angalau wa3 Kwa wanandoa na 5-10 kwa wasio na ndoa.

Tathmini yangu ndogo hakika nawaambia kitaa kumechafukwa sana karoti hali mbaya na vitumbua hali mbaya sana.

Siku za jumatatu hadi ijumaa kwanzia saa8 ucku unapata pisi utakayo maeneo mengi ya tz kwa dau la chini ya elfu50 kulala na sio chini ya bao 2, hii ni kwenye manispaa, Jiji na halmashauri center.

Sex mtambuka imekithiri ndugu wataalamu wa afya chonde chonde share dawa madhubuti za kutibu hizo gonjwa za zinaa mtaani kumeoza.

Japo kupaka mafuta kunasaidia ila sio kwa muda wote hasa mafuta mgando. Azuma itakusaidia ukiitumia bila kusubiria dalili siku ya kwanza kuona ladha ya utokaji wa mkojo pita na Azuma na haipaswi kuwa ni mazoea. Mwanaume makini at least after three months ndio uone dalili ya UTI kwa mbali na uitibie kwa lishe sio kujidunga madawa.

Karibu kwa vijembe na kila ushauri na wale wa mzaha mzaha najua mpo pia uwanja ni wetu sote.

Shukrani na karibuni nyote

Wadiz
 
Mkuu ungeanza kwa kushea nasi jinsi ya kutibu UTI kwa kutumia lishe
Ulaji wa matunda, maji mengi, majani ya mpera, na majani ya songwa (kama nyanya chungu) zenyewe tamu huliwa Jenga utamaduni wa kuchemsha kwa wiki mara mbili, mixer ya hoho, limao, tangawizi, kituswaumu, kitumaji na asali tafuna imeisha hio walau 3times a week
 
Wasalaam nyote,

Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa.

Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa.

Basi ni vema walau tuambiane dawa kiboko za kutibu UTI, Gono, Kaswende na matakataka yote. Asikwambie mtu mademu karibia 85% wanauza au wanachepuka na wanaume angalau wa3 Kwa wanandoa na 5-10 kwa wasio na ndoa.

Tathmini yangu ndogo hakika nawaambia kitaa kumechafukwa sana karoti hali mbaya na vitumbua hali mbaya sana.

Siku za jumatatu hadi ijumaa kwanzia saa8 ucku unapata pisi utakayo maeneo mengi ya tz kwa dau la chini ya elfu50 kulala na sio chini ya bao 2, hii ni kwenye manispaa, Jiji na halmashauri center.

Sex mtambuka imekithiri ndugu wataalamu wa afya chonde chonde share dawa madhubuti za kutibu hizo gonjwa za zinaa mtaani kumeoza.

Japo kupaka mafuta kunasaidia ila sio kwa muda wote hasa mafuta mgando. Azuma itakusaidia ukiitumia bila kusubiria dalili siku ya kwanza kuona ladha ya utokaji wa mkojo pita na Azuma na haipaswi kuwa ni mazoea. Mwanaume makini at least after three months ndio uone dalili ya UTI kwa mbali na uitibie kwa lishe sio kujidunga madawa.

Karibu kwa vijembe na kila ushauri na wale wa mzaha mzaha najua mpo pia uwanja ni wetu sote.

Shukrani na karibuni nyote

Wadiz
Acheni ujinga nendeni kwa wataalamu wa afya, wapo kwa ajili yenu, huko mtapewa tiba na kufundishwa namna ya kujikinga na la mwisho ni AMINI NAKWAMBIA HUWEZI KUSTAWI KAMA UTASHINDWA KUDHIBITI HAMU ZAKO, YAHANI HAMU ZAKO ZOTE,
HAMU YA CHAKULA
HAMU YA NGONO
HAMU YA KUONGEA
HAMU YA KUNYWA,
.......................................
.......................................
......................................
 
Jitaidi sana tena sana kuwa mbali nahivi videmu vyenye mageto utakuja kunishukuru ndugu yangu maana utakunywa azuma mpaka zidunde

Dah hatari sana aisee,huu upuuzi wa kubeba beba vitumbua Unatucost Sana wanaume.Ngoja niiweke hivi.Kitumbua ni kile kile tuu hakikofaitiani sana na cha mama yeyoo unachotafuta ni art yaani usanii na vionjo.Kitu ambacho unaweza kipata kwa mama yeyoo wako. Hizi side chicks hata uziwezeshe vipi zitachepuka tuu na kukuletea hizo infections.Any way nije kwenye maada.Kuna dawa inaitwa Azuma hii inasaidia sanaa.
 
Nina week sasa mashine inawasha na inatoa uchafu kama usahaa hasa asubuhi

Nimetumia dawa hizi bila mafanikio
Cefixime 400
Azuma 1g

Hali ikaendelea nimechoma powercef 5 na doxy bado sijapona
Hapa nasubiria majibu ya culture naona yanachelewa msaada kama kuna dawa yoyote ya kienyeji hali ni tete shemej yenu anarud siku mbili hizi na anadai amenimiss sana hapa nachomokaje wazee
 
Usiache kupima na UKIMWI!!!
 
Back
Top Bottom