Dalili za magonjwa ya zinaa na tiba zake

El'son

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
380
324
Usionee so sema kweli.

Ni hatari magonjwa ya zinaa yanasumbua sana wanaume wengi yametutesa wanawake vile vile. Yapo magonjwa mengi ya zinaa kama vile:

Kisonono

Gono

Kaswende

Pangusa

Haya magonjwa yametusumbua wengi sana,watu wameahangaika kujitibu wapo waliofanikiwa kutibu haraka wakapona.pia wapo waliochelewa na ikawa vigumu kutibu. Waliochelewa wamehangaika miaka nenda rudi lakini bila mafanikio bado wanaugulia.

Haya magonjwa yanatabia tofauti tofauti, ila kama ukichelewa kutibu yapo ambayo huingia kwenye damu na ukawa huoni dalili lakini kumbe yanakutafuna ndani kwa ndani.

Dalili za magonjwa ya zinaa:

1. Kutoka uchafuu kwenye njia ya haja ndogo (usaha)

2. Kusikia maumivu wakati wa kujisaidia haja ndogo

3. Kutokwa na vidonda sehemu za nyeti

4. Kutopata hamu ya tendo.

Hizi dalili zimetofautina baina ya wanawake na wanaume.wanaume wanahi kuona dalili ndani ya muda mfupi kama siku Tatu mpaka wiki baada ya kuambukizwa.

Ila wanawake wanachelewa kuziona dalili kutokana na maumbile inaweza chukua miezi 3 mpaka 6 kuona dalili.

MATIBABU:

Yapo aina mbali mbali kama vile

Kutumia antbiotic kama

Cipro

Metronidalze

Injection kama vile ceptriaxone.

Vijana wengi wamesumbuliwa na magonjwa haya hivyo ni vyema uonapo dalili uende kituo cha afya mapema.

ATHARI:

1. Maumivu makali

2. Ugumba

3. Kutokusikia hamu ya tendo

4. Uume kutokusimama vyema

SWALI:

- Je umeshawahi kukutwa na moja wapo ya hayo magonjwa?

- Ulitibiwa ipasavyo na ukapona?

- Je dalili zilikwisha kabisaa.

NB
Toa uzoefu wako ili na wengine wajifunze kupitia kwako.

Mhh! mada nzuri sana. Big up mkuu japokuwa sijawahiugua hiyo kitu, lakini nimejifunza kitu.
 
Haya magonjwa yaliisha baada ya ukimwi kupiga hodi Tanzania.

Unanikumbusha enzi zile watu wanaponea kwa wahaya maeneo ya Livingstone, Red cross na kule Maandazi street. enzi zile sh tano yaani dala unapiga kimoja saafi ukitoka hapo unasikilizia kama umepata gono au la. Ukishapiga mhaya nae anaipiga mashine maji yaliyo kwenya karai kama kinga ili usimuachie gono.
 
Yapo jombaaa tena sana nishawatibu wengi tuu na ni hatari sana
 
Haya magonjwa yaliisha baada ya ukimwi kupiga hodi Tanzania.

Unanikumbusha enzi zile watu wanaponea kwa wahaya maeneo ya Livingstone, Red cross na kule Maandazi street. enzi zile sh tano yaani dala unapiga kimoja saafi ukitoka hapo unasikilizia kama umepata gono au la. Ukishapiga mhaya nae anaipiga mashine maji yaliyo kwenya karai kama kinga ili usimuachie gono.

Hebu funguka zaidi nipo livingstone muda huu
 
Hebu funguka zaidi nipo livingstone muda huu

Wewe umekuja mjini juzi, Livingstone tunayoongelea ni ya miaka ile, kuanzia Uhuru street mpaka kidongo chekundu, pale ilikua ni soko la papuchi, halafu lilipo jengo la red cross pale bibi titi na morogoro ilikua soko kubwa tu la papuchi. Sasa hivi zile nyumba sishauzwa na kujengwa magorofa kama unavyoliona red cross. Enzi zile hakuna cond.om wala nini, ulikua unapata mzigo nyama nyama.
 
Dah!!!tumekosa uhondo siku hizi na huu ugonjwa wala hatufaudu kabisa aisee
Wewe umekuja mjini juzi, Livingstone tunayoongelea ni ya miaka ile, kuanzia Uhuru street mpaka kidongo chekundu, pale ilikua ni soko la papuchi, halafu lilipo jengo la red cross pale bibi titi na morogoro ilikua soko kubwa tu la papuchi. Sasa hivi zile nyumba sishauzwa na kujengwa magorofa kama unavyoliona red cross. Enzi zile hakuna cond.om wala nini, ulikua unapata mzigo nyama nyama.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom