Daladala wagoma Mwanza

sio ni ajabu kama wakigoma, yaani kule askari ni rushwa kila mtaa wanalazimisha kukutoa pesa hata huna kosa
wale madreva wa daladala sio siri wanateswa sana na hao matrafiki vichaa.
Arusha wameshaa nza , basi nadhani na Mwanza watakuja
dawa yao hao ni kuwa ua tu mmoja mmoja ili wapate adabu
Sio siri wanaudhi hao jamaa sio mchezo
Fikri mtu anategeme apate labda 40,000/day trafiki akikuona lazima umkatie 10-20 sasa hapo utakuwa unafanya kazi gani?
na hiyo ni kazi yao ya kila siku.
Hii nchi imeoza, tena imeoza sin hata tamaa nayo kabisa
 
Hali ni mbaya sana, watu wanataabika ile mbaya, inasikitisha sana pale napowaona wanafunzi wakilazimika kutembea umbali wa kilomita kadhaa kutoka mashulen kuja nyumban kwan asubuh zimewapeleka kama kawaida na wazaz wakatoa bajet ya usafiri kama ya sikuzote, watu wanatoka makazin hakuna usafiri, Mungu saidia Tanzania.
 
wangegoma nchi nzima -lazima wawe na mshikamano.
tatizo la wabongo ushirikiano ni zirooo, akianzisha mmoja wengine wanafiki wanatibua tabu tupu.

tutaendelea kusaga meno tu hakuna kinachoweza fanyika bongo.

kazi yetu kubwa:
1. KUPIGA DOMO
2. WIZI WA MALI ZA UMMA.
3. KUTAFUNA POMBE
4. KUTAFUNA MADEMU
5. MAJUNGU
 
Sasa kinachokuja ni hali ngumu, tena ngumu sana. Maana mti mkubwa unapoanguka vimiti vidogo pia huanguka na mara nyingi hutangulia. Hivyo tegemeeni makubwa miaka hii mitano maana ccm inaanguka.

May GOD be with us.
 
Back
Top Bottom