Dada yako anaolewa: Nini hasa kinachokufanya ufurahie?

Nafurahi kwakuwa aliyemuoa(shemeji) katuondolea JANGA nyumbani maana alikuwa na wageni wengi(wanaume), tulikuwa tunahofia asije tufia mikononi(kama biashara ya nyanya)
 
inaonesha dada zako wote manung'aembe hawajawahi kuolewa sasa kinakuuma nini mtu kufurahia dada yake kaolewa huna jipya
 
Kwani wewe mwenyewe umeoa/umeolewa?kama jibu ndio basi kama umeoa dada wa mtu unajua mzigo ulionao juu yake ambao kama sio wewe kumchukua basi kaka zake wangeubeba. Kama umeolewa, jiulize kama sio huyo aliyekuoa ungekuwa wapi? Nani angekuwa pamoja nawe wakati wa shida,raha, magonjwa na tabu? Je kaka zako wangeweza kukuchamba ukiwa hoi kitandani? Ungeweza kupata watoto? Je, kama ungepata watoto ungewezaje kuwatunza peke yako au ukiwa kwenye familia ya wazazi wako?
 
kwa kuwa hilo jambo ni la kheri na hata enzi na enzi lipo sasa we fikra zako ziko kwenye hilo je huyo shem akikupa kabajaji mbaya huyo?
 
kwa kuwa hilo jambo ni la kheri na hata enzi na enzi lipo sasa we fikra zako ziko kwenye hilo je huyo shem akikupa kabajaji mbaya huyo?
 
mimi sina dada ila naamini wanakuwa happy kwasababu angalau ameweka mambo kiheshima zaidi, pili ameweza kupata familia, manake siku hizi wadada wengi hawaolewi wanaishia kuzaa tu,kama huamini nenda vyuo vikuu utaona hii mambo..:dance:
 
Mimi nafurahia kwa sababu dada amepata muhogo mmoja wa kuuzoea na atajiadjust kwa hiyo hiyo, badala ya yeye kukaa home na kupambana na mihogo tofauti tofauti, mara leo wa kichina, mara leo kibamia, mara leo.

Au una maana akikaa home hakutani na wanaume?
 
hahah,wanafurahia kwa sababu wanataka kujua,inakuwaje mvua inyeshe bondeni halafu mafuriko yawe mlimani??au mtu kupigwa chini halafu avimbe juu?????
 
Huwa hawafurahi bali wanahuzunika pale wanapowafanyia dada wa wenzao kwa kuwakomoa na dada zao ndo wanaenda kugegedwa
 
Wewe unataka kumuoa dada yako mwenyewe? Au unataka asipate anachotaka?

Kama dada yako kampenda mtu, na anafurahia kuolewa, kwa nini usifurahie yeye kufurahia?
 
Wewe unataka kumuoa dada yako mwenyewe? Au unataka asipate anachotaka?

Kama dada yako kampenda mtu, na anafurahia kuolewa, kwa nini usifurahie yeye kufurahia?

si ndo hapo basi embu mueleze huyo
 
unatupa taswira ya kuwa wewe ulilia sana siku ileee dadako alipopata mwenza eenh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom