ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Nimehudhuria sherehe za harusi nyingi.
Nimekuwa nikiona kaka za bibi harusi wengi wakishangilia na kufurahia dada zao kuolewa. Hapa naomba mnijuze juu ya nini hasa kinachowafanya wakaka kuwa na furaha dada zao waolewapo ukizingatia hiki ni kipindi ambacho wanaume wengi wamekuwa na kale katabia ka kutumia viagra na zile dawa za kuongeza ukubwa wa 'vitendea kazi' vyao hadi kufanana na mihogo ya jang'ombe.
Hivi wakati unafurahia umeshawahi kujiuliza juu ya madhila kama haya ambayo wanawake wengi wamekuwa hawayapendi ktk mahusiano yao na sasa ndiyo yanaenda kuwa maisha yake ya kila siku ktk ndoa ya huyo dada yako?
Ktk mazingira kama haya, ni nini hasa kinachokufanya wewe kaka wa bibi harusi ufurahie dada yako anapoolewa?
Nipeni jibu jamani!