Dada yako anaolewa: Nini hasa kinachokufanya ufurahie?

Sababu ni kuwa anaenda kuanzisha familia, anaenda kuwa mama sasa, anaenda kubeba heshima kama waziri mkuu kwenye familia yake ....
Kwa nini nisifurahie?
 
Lazima mfurahie kwa sababu kawapa heshima nyumbani.Kuna mtu mwingine ana mabinti nyumbani,kila binti anazaa kwa wakati wake!!
 
Kupata shemeji!

Akikudodea utamuoa wewe????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
utafurahi tu kama dada alikuwa ni kero/mzigo hapo home. kwahiyo shemeji kasaidia kuondoa kero.
lakini kama dada ndo mleta furaha ndani ya house, kilio hutawala.

kwahiyo kaka kufurahia dada kuolewa, sometimes kuna jambo limejificha.
 
Nimehudhuria sherehe za harusi nyingi. Nimekuwa nikiona kaka za bibi harusi wengi wakishangilia na kufurahia dada zao kuolewa. Hapa naomba mnijuze juu ya nini hasa kinachowafanya wakaka kuwa na furaha dada zao waolewapo ukizingatia hiki ni kipindi ambacho wanaume wengi wamekuwa na kale katabia ka kutumia viagra na zile dawa za kuongeza ukubwa wa 'vitendea kazi' vyao hadi kufanana na mihogo ya jang'ombe.

Hivi wakati unafurahia umeshawahi kujiuliza juu ya madhila kama haya ambayo wanawake wengi wamekuwa hawayapendi ktk mahusiano yao na sasa ndiyo yanaenda kuwa maisha yake ya kila siku ktk ndoa ya huyo dada yako?

Ktk mazingira kama haya, ni nini hasa kinachokufanya wewe kaka wa bibi harusi ufurahie dada yako anapoolewa?

Nipeni jibu jamani!

Inategemea na jinsi mlivyokuwa mnaishi na huyo dada. Wapo baadhi ya wakaka na wababa hata wamama ambao wanasononeka binti wa family akiondolewa nyumbani. Ingawa wanapenda na wanafurahia anapoolewa, kwa upande mwingine wana kauchungu fulani kwa sababu binti anaondoka, na yale mazoea ya kumuona na kufurahia upamoja nae yanakuwa yamepungua mno, na mbaya zaidi kama anaolewa mbali mno na walipo. Lakini baada ya muda kidogo wanazoea hali hiyo na kuona kawaida.
Hali huwa mbaya zaidi kwa baba ambaye alikuwa anampenda sana na kumuhudumia sana binti yake, especialy pale binti anapokwenda kuishi na bwana asiyeeleweka uwezo wake. Huwa anadhani binti anakwenda kuteswa. Huyu huwa na furaha iliyochanganyika na masononeko.
 
tunafurahia kwa sababu tunaamini kwamba kuolewa ni sehemu ya mafanikio makubwa ya mtoto wa kike, halafu ni kama kielelezo cha mwenendo mwema wa dadangu kuliko kugongwa kisela halafu kula hamira akiwa bado homu.
 
yaani - WAKATI WATU WANASHANGILIA .......... WEWE AKILI YAKO YOTE ........ INAWAZA NA NIHII

ama kweli kimjazacho mtu moyoni ndicho kimtokacho au mdomoni - fikra etc.
 
akiolewa dada angu na mimi si nitakuja kumuoa dadako??
tatzo liko wapi,ni kizam zam au siyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom