Dada mtu kikwazo nifanyeje?

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
Nilimtuma dada mtu amwambie mdogo wake kuwa ninampenda kwe mdogo wake amenipenda pia,ila yeye hana cmu kwa hiyo ili niwasiliane nae lazima nipige cmu kwa dadake,baada ya mdogo wake kunikubalia dada mtu hapokei tena cmu zangu! WHAT DOES IT MEAN?
 
Mnunulie simu huyo mdogo wake.

Afu siku ingine usirudie kumtuma dada mtu akutongozee mdogo wake, sio vizuri. Tena huyo dada kakuheshimu sana!
 
Sa nawe,c umnunulie blackberry ili muwe mnawasiliana vzr.
 
Huwezi kupata ushauri mzuri zaidi ya huo uliopewa hapo juu.
Mapenzi gharama!
 
sasa nikimununulia simu haiwezi kumletea matatizo kwa wazazi wke ? what to do for na as an emergency? isitoshe hata wiki bado
 
nadhani maelezo yote juu yanajieleza cmu ndo muhimu kama vp jikamue unune hata ya tochi ili mradi mawasiliano
 
Mimi nahisi huyo dada mtu atakuwa ana wasiwasi ya kuwa anamuweka mdogo wake matatizoni maana baadhi ya wanaume hupenda kuwachezea tu wanawake!
 
ingekua mm dada m2 nngekupa namba ya mama yake, ili upate fundisho! we machangudoa wakwako na wanaojieshimu wako, ebo km umejichokea kimaisha ebu endelea na hao nusu uchi wa usiku, toa mada zako zakizinifu!
 
sasa we unataka dada ake afurahi, kwani yeye nae si wakike? hata yeye anataka kupendwa.
 
ingekua mm dada m2 nngekupa namba ya mama yake, ili upate fundisho! we machangudoa wakwako na wanaojieshimu wako, ebo km umejichokea kimaisha ebu endelea na hao nusu uchi wa usiku, toa mada zako zakizinifu!

Wow! bravo
 
how to solve it?
 
nunua 3310 fasta mpe huyo demu ili muwasiliane na mujiachie.Nalog off

DU 3310,nakumbuka ndo cm yangu ya kwanza,tena alininulia my sister nikiwa camp jkt,2001 ilikua ukitaka kutuma sms ni 500,kupiga one mnt 800 apokee asipokee,du tumetoka mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom