Dada mtu kikwazo nifanyeje?

ingekua mm dada m2 nngekupa namba ya mama yake, ili upate fundisho! we machangudoa wakwako na wanaojieshimu wako, ebo km umejichokea kimaisha ebu endelea na hao nusu uchi wa usiku, toa mada zako zakizinifu!

duniani kuna mambo.
 
nakumbuka umri huo nlikua 1st yr chuo.

Jamani masomoni tunapitia mengi! Kuna kukwama, kurudia kwa sababu tofauti tofauti na pengine mtu anaweza kuwa alichelewa kuanza shule! Yote heri tu. Cha muhimu huyu kaka asimsumbue dada mtu!
 
Umri syo tatizo, ila hizi mbinu na exposure ndo nina mashaka nazo.Rekebisha mbinu na kama unampenda kwa dhati songa front desk kwao, wakutambue, mnunulie simu mtawasiliana kwa raha mustarehe, na mtaishi pamoja kwa mapenzi ya mungu. Kama huwezi basi hauna tofauti na vicheche wenzio
 
..dah ww nawe umekuwa ***** sana,una 25 ye ana 21 then y uogope hofu ya wazazi?..shauri yako me kesho nampatia SAMSUNG mpyaa afu uone kama atakukumbuka..acha kumsingizia dada m2 umiza bongo yako,manake navyokuona ka domo zege hivi,kwanza umetongozewa then wadhani UTASHIKIWA NA MIGUU?..p.u.m.b.a.f.u..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom