Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Hivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye?? Maana hapa kama nipo njia panda hivi.

Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi, nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mke wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mke wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.

Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.

Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.

Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.

Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
 
Hivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye??Maana hapa kama nipo njia panda hivi

Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mume wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mume wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.

Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.

Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.

Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.

Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
Kwahiyo mkuu umetongoza mume wa mtu"

Huu uzi haueweki kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mume wa mtu tena?

Okay tuchukulie ulimaanisha mke wa mtu, sasa ulimtongoza akakukataa na akakupa sababu yeye ni mke wa mtu na kusisitiza msimamo wake kakata mawasiliano na wewe inakuwaje unauliza kama Kuna mapenzi hapo?

We vipi wewe?
 
Mapenzi yananichanganya mkuu mpaka nashindwa kuandika vitu mkaelewa ni sameheni nipo kipindi kigumu mkuu ongeza na uelewa wako unirahisishie
Usipokuwa makini kiuandishi hatukawii kuandika:-
-chai kwa matembele,
-famba,
-conman,
-huna jinsi/si me wala ke.
 
Mume wa mtu tena?

Okay tuchukulie ulimaanisha mke wa mtu, sasa ulimtongoza akakukataa na akakupa sababu yeye nu mke wa mtu na kusisitiza msomamo wake kakata mawasiliano na wewe inakuwaje unauliza kama Kuna mapenzi hapo?

We vipi wewe?
Nilikosea kiuwandishi nimesharekebisha mkuu!!

Sasa kama hataki mawasiliano na mimi mbona namba zangu hafuti halafu mbona akiniona hata mkiwa barabarani ananichangamkia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom