CWT kulikoni mbona kimya kuhusu mgomo walimu?

Kazi nzito hiyo, zile DIV 4 za kuchechemea, halafu wagome? wakifukuzwa ni nani atawaajiri?
Acha kashfa, si kila mwalimu alifeli, halafu bila mwalimu ungewza hata kuposti ulichoposti. Kwa taarifa yako walimu wengi ni magraduate.

Ujinga wenu wa kuisifia CCM ndo uliotufikisha hapa baada ya kupata elimu umefanya nini dhidi ya udhalimu kwa nini mnawabebesha mzigo walimu, Mnapotoa rushwa, mnabanana kwenye magari, hakuna dawa hospitalini, Mwizi na fisadi mnamwona mjanja.

Ni vema tuungane pamoja baadala ya kuwabebesha mzigo walimu Watanzania wote hata wewe ni mazezeta.

Tunatakiwa kuungana kupinga udhalimu. mbona polisi wanawapiga marungu wapenda mabadiliko. Usalama wanawatesa watetea haki. kwa nini walumiwe walimu.
 
kufikilia=kufikiria
ember=Unamaanisha member?

Kazi ya mwl umeiona?
Punguza povu ndo uongee.
Sijakuelewa Madame B una maana gani, kukosea hizo spelling na kusahau nyingine unamaana ya kazi ya mwalimu kwamba
sikufundishwa vizuri au?

Kwangu sidhani kama sababu ni kutofundishwa vizuri those my faults na nawaheshimu sana walimu walionifundisa.

Kushangaa kwangu kunatokana na member wengi kuongea maneno ya ajabu kukashfu walimu ambao mi na wewe tunawaheshimu... labda nikuulize unamaanisha nn unaposema nipunguze POVU ndipo niongee.

Sijaipenda hiyo kauli na sijawahi tukana mtu humu JF PLEASE
 
Ndugu yangu pole,kama unasubiri CWT wakutetee umeliwa.Hivi hujui kwamba CWT ni tawi la CCM?Umechelewa sana.
Tunategemea tamko lenu cwt kama serikali haiongezi mshahara tugome acha mgomo baridi tuliofanya zamani,tunasubiri kwa hamu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom