William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
CWT ilianza kupata mapengo muda mrefu hata kabla ya katibu Japhet Maganga.
Kwa Japhet Yeye anaamini wanaomuhujumu ni viongozi waliopita, hasa katibu. Wapo wanaoamini siasa ya CWT inaathiri sana siasa za vyama vya siasa.
Binafsi sioni kabisa hata ushawishi ilionao CWT kwa walimu. Wanachama wake wengi karibu asilimia 90 hawataki kabisa kuwepo huko ila ama vitisho au kulazimishwa tu au kushindwa kujitoa.
CWT imeweza kuua kila chama mbadala cha walimu na kufanya walimu kuwa mateka.
Kama viongozi wa CWT hawawezi kumtoa Japhet na lea Ulaya mpaka Rais afanye uteuzi na bado wakaugomea sioni haja ya Serikali kupambana na hilo kundi lote la ujanja ujanja.
Kama maafisa Utumishi wakisimamia sheria, wakatenda haki ndani ya miezi 3 naamini CWT itabaki na majengo tupu yasiyo na watu. Kila mwalimu hatakuwa mwanachama wake.
Sema juu wanapambana na chama lakini chini wanakipambania.
Swala hili linaichafua serikali juu ya uhuru wa vyama vya wafanyakazi kimataifa.